Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Elviejo

Elviejo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
340
Points
250
Elviejo

Elviejo

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
340 250
Wakuu naomben msaada wa maelezo kwa scenario hii. Samahanini kama ishajibiwa na sijaiona.
naomba ufafanuzi wa kisheria.
Mimi kuna bro wangu kakimbia kusikojulikana na fedha za kampuni moja hivi.alikuwa anakaa home kwa baba.kampuni limeanza kumsumbua mzee kumtishia kumshtaki.je mzee anastahili kusumbuliwa kiasi hicho??
 
E

Edward Nditi

Member
Joined
May 8, 2014
Messages
8
Points
45
E

Edward Nditi

Member
Joined May 8, 2014
8 45
Naombeni kama kuna mtu ana soft Copy ya Civil Procedure Act by CHIPETA anitumie kwa email
 
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
782
Points
250
Jaffary

Jaffary

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
782 250
Kuna same scenario kama hiyo nataka maelezo.
Mkuu baba hawezi kuhusika kwa vyovyote kwa jinai au kosa lililofanywa na mtoto. Pia hakuna jinsi mali za baba zinaweza kuhusianishwa na makosa ya mtoto.

Labda kama baba alimdhamini kwenye hiyo kampuni au kuna taarifa anazo na hataki kuzitoa kwa kumlinda mtoto, lakini bado ni ngumu kumhusisha!
 
Kassim Mgwami

Kassim Mgwami

New Member
Joined
Jul 14, 2019
Messages
2
Points
20
Kassim Mgwami

Kassim Mgwami

New Member
Joined Jul 14, 2019
2 20
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Naomba nisaidie notes za law of business associations, alternative dispute resolution na Private International law.
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
308
Points
250
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
308 250
Kama unataka Instruments za Public International Law, au International Humanitarian Law niPm. The man himself Dr. Chacha Bhoke Murungu ametu~equip sana vijana wake.
BRO MBONA NINAPATA TABU YA KU TUMA PM KWAKO? I WOULD NEED HELP TO THOSE MATERIALS NDUGU.
 

Forum statistics

Threads 1,315,675
Members 505,292
Posts 31,866,470
Top