Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Mkuu Dragoon,

Naomba kesi zinazotoa muongozo pale ambapo shahidi anapeleka exhibits mahakamani bila kuwa na signature yake.

Kesi hizo zinaweza zikawa za hapa Tanzania au hata Kesi za mbele.
 
Ndugu ingekuwa vizuri kama ungekuwa specific zaidi, yaani katika topic zipi. Pia ni vizuri ukajizoesha kusoma vitabu, maana mwanasheria hujengeka maktaba. hata hivyo nimekuwekea notisi hizi:
Niaje Dragoon naomba nyongeza ya lecture one na two ya hizi ulizotuma na muendelezo wake km upo i mean lecture 8+ pia naomba kama una notes za constitutions and legal system of East Africa.
 
Na hata huu utitiri wa International Law hauna sana applicability huku Tanzania za dunia hii.

Mtaalam wa International law, kwa mfano, huku Tanzania atajishuulisha na ma dispute gani?
Mkuu, mwanasheria shughuli yake si dispute tu. vile vile si kila mwanasheria wa Tanzania hatakiwa kushughulika na sheria za kimataifa. International Law ni paza zaidi ya unavyofikiri
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Dragon nakukumbusha ile barua yangi niliyokutumia inbox
 
Bwana Dragon, naomba tafadhali unipatie hii doc kama unayo: employment and labour relations (code of good practice) rules 2007 (gn no. 42 of 2007)
Kila mahali haipatikani
 
Mkuu Retired Kazi yako nilishaifanya, ina attachment hivyo niliona ni bora nikakutumia na hiyo attachment, kazi iko kwenye PC yangu na sikuwa na access nayo siku za hivi karibuni. Nilisharejea na soon nitaku PM. Kuhusu ombi lako la pili pia nitakupatia document hiyo, nitaiweka hapa jukwaani. Ahsante kwa uvumilivu na karibu sana.
 
Dragoon mkuu,naomba kukumbushia ombi langu la case laws za kesi ya makosa ya mitandao!
Kazi yako iko tayari mkuu, kuna new entries niliziona mahali nilipenda kuziongezea kwenye hiyo kazi. Soon nitaipost hapa. Pole kwa kukucheleweshea mkuu
 
Mkuu Dragoon,

Naomba kesi zinazotoa muongozo pale ambapo shahidi anapeleka exhibits mahakamani bila kuwa na signature yake.

Kesi hizo zinaweza zikawa za hapa Tanzania au hata Kesi za mbele.
Mkuu joshydama kazi yako nitakuwekea hapa japo nilichelewa kidogo. Nitakupatia kesi za Tanzania na za nje pia. Karibu sana
 
Mkuu Retired Kazi yako nilishaifanya, ina attachment hivyo niliona ni bora nikakutumia na hiyo attachment, kazi iko kwenye PC yangu na sikuwa na access nayo siku za hivi karibuni. Nilisharejea na soon nitaku PM. Kuhusu ombi lako la pili pia nitakupatia document hiyo, nitaiweka hapa jukwaani. Ahsante kwa uvumilivu na karibu sana.
Ubarikiwe, asante sana.
 
Back
Top Bottom