Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Attachments

  • 2004 Civil Lawsuit Guide for Survivors.pdf
    492.5 KB · Views: 164
  • Executorship and Administration of Estates.pdf
    2.6 MB · Views: 330
  • Wills.pdf
    1.2 MB · Views: 205
  • WILLS AND ADMINISTRATION.doc
    3.5 MB · Views: 649
njiazote , kuhusu hitaji lako la pili hapa nimekuwekea kesi uliyoitaja ya CITIBANK v TTCL na kesi zingine. Pakua Uzisome mkuu.

MKUU DRAGOON ASANTE KWA MSAADA WAKO USIOMITHILIKA AMBAO UMELIPA UHAI JUKWAA HILI
MIMI MAOMBI YANGU NI CASE LAW KUHUSU ISHU ZIFUATAZO ZA LABOUR
case for unfair termination on
1 substantive matter--reason for termination
2. failure to follow procedures for termination of employment
-at least 48 hours notice for employee
- fair hearing
-mitigation
-lack of chance to appeal in within organization
-NOT giving chance an emploee to question evidence or witness in displinary hearin

-
ASANTE SANA

NB; ANY CASES IKIWA ZA TZ NITAFURAHI ZAIDI PAMOJA NA ANY MATERIAL CONCERNING EMPLOYEE DISPLINARY HEARING DISPLINARY HEARING

Ok Mkuu. Nitakufanyia kazi hii kesho jumanne jioni. kaa mkao wa kula msomi
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Bwana Dragon, nifuate taratibu zipi niweze kufanya official search kujua kama kiwanja /shamba fulani lina status gani in terms of ownership
 
MKUU DRAGOON ASANTE KWA MSAADA WAKO USIOMITHILIKA AMBAO UMELIPA UHAI JUKWAA HILI
MIMI MAOMBI YANGU NI CASE LAW KUHUSU ISHU ZIFUATAZO ZA LABOUR
case for unfair termination on
1 substantive matter--reason for termination
2. failure to follow procedures for termination of employment
-at least 48 hours notice for employee
- fair hearing
-mitigation
-lack of chance to appeal in within organization
-NOT giving chance an emploee to question evidence or witness in displinary hearin

-
ASANTE SANA

NB; ANY CASES IKIWA ZA TZ NITAFURAHI ZAIDI PAMOJA NA ANY MATERIAL CONCERNING EMPLOYEE DISPLINARY HEARING DISPLINARY HEARING

-
Pakua hapa mkuu kimpango .
 
Attachments

  • Joshua Bakari v Project Manager TES.docx
    21.4 KB · Views: 394
  • Knight Support Ltd v Chrisprinus Kaloli..pdf
    1.6 MB · Views: 135
  • Tanzania Building Works Ltd v ally Mgomba & Others.pdf
    300.2 KB · Views: 178
  • TISCAN Ltd v Revocatus Simba.pdf
    911.3 KB · Views: 101
  • TTCL v Augustine Kibandu.pdf
    1.8 MB · Views: 96
  • TUICO v TTPL.pdf
    361.1 KB · Views: 311
  • 2010 Case Law Monitor.pdf
    1.9 MB · Views: 565
  • wrongful dismissal.doc
    75.5 KB · Views: 198
  • Summary Judgment in Employment Discrimination Cases A Judge’s Perspective.pdf
    8 MB · Views: 175
Bwana Dragon, nifuate taratibu zipi niweze kufanya official search kujua kama kiwanja /shamba fulani lina status gani in terms of ownership
Mkuu Retired , katika kufanya official search unatakiwa kukifanyia description kiwanja au shamba kuhusu location yake, current (kama unamfahamu, japo si lazima sana) occupier wa eneo au shamba hilo, namba ya eneo hilo kama limesajiliwa na hatimae unapeleka maombi yako ofisi za ardhi, kwa msajili wa hatimiliki (Registrar of Titles). Utatakiwa pia uwe na pesa kidogo kwa ajili ya search fees.
Hapa nimeambatanisha na fomu ambayo utatakiwa ujaze kwa ajili ya shughuli hiyo.
Ahsante.
 
Attachments

  • Search Request.docx
    17.5 KB · Views: 114
Mkuu Retired , katika kufanya official search unatakiwa kukifanyia description kiwanja au shamba kuhusu location yake, current (kama unamfahamu, japo si lazima sana) occupier wa eneo au shamba hilo, namba ya eneo hilo kama limesajiliwa na hatimae unapeleka maombi yako ofisi za ardhi, kwa msajili wa hatimiliki (Registrar of Titles). Utatakiwa pia uwe na pesa kidogo kwa ajili ya search fees.
Hapa nimeambatanisha na fomu ambayo utatakiwa ujaze kwa ajili ya shughuli hiyo.
Ahsante.
NASHUKURU SANA TENA SANA, UBARIKIWE SANA TENA SANA. KAZI YANGU UMEIRAHISIDHA
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana
Habari Bwana Dragon
Naomba ushauri: Mtu aliniuzia kiwanja, kumbe ulikuwa ni utapeli siyo chake. Nikajenga wakabomoa wenye kiwanja. Tuliandikishana manunuzi vizuri. Nimempeleka polisi na wakafungua jalada. Hivyo ni criminal case ambayo sijui kama nitalipwa fedha zangu. Ipi ni bora kumfungulia jinai au civil kusudi nidai fedha zangu.
Akifungwa nitapata hela zangu? Kifungo hakinisaidii. amekubali kuwa ghrama zangu za ujenzi atazilipa zote maana aliniuzia nikajenga wakabomoa kwa vile aliniuzia kiwanja siyo chake.
Tafadhali! nifungue shauri lipi.
 
Mkuu hapo fungua kesi ya madai dhidi yake aliyekuuzia na pia ukiwajumuisha kwenye madai wenye kiwanja. Katika kesi hiyo uombe pamoja na mambo mengini kurudishiwa pesa yako ya manunuzi (purchase price). Kesi ya jinai hapo haitakusaidia chochote, labda kama unataka umkomoe. pesa yako unaweza usiipate kama ataamua kutokukukulipa.
 
Asante. Wenye kiwanja nitakuwa naomba relief gani kutoka kwao
 
relief ya kuomba ni specific damages kama kuna upotevu na hasara ya wazi uliyopata kutokana na kubomolewa nyumba yako. pia utaomba na general damages. hapa usisahau kushtaki na kuomba relief JOINTLY AND SEVERALLY ili kuyapa nguvu madai yako na kuwa na uhakika wa kulipwa.
 
asante sana. Inbox kuna kitu nimekuomba mwongozo, please kindly assist!
 
Back
Top Bottom