Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,126
- Thread starter
- #261
pakua hapa;Kaka dragon naomba notes ama document zozote za legal method asa development of the law of negligence
Ni haki ya kila employee kuterminate contract yake ya ajira. Una haki ya kutoa 30 daya notisi ya kuresign na kudeclare salary yako ya mwezi mmoja kwa mwajiri, utakuwa huruMsaada: Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?