Legacy inapoyeyuka mithili ya jibini juani

Kiukweli wahenga hawajawahi kukosea kila walichokisema hutokea
Mfano!!! Ivumayo haidumu,Ngoma ililia sana jua inapasuka!!! Mbio za sakafuni huishia ukingoni!!! Na mingine mingi tuuuuu
Sasa sisi wazee wa legacy tupo hoi!!!
Kwa sasa kila jiwe lina geuzwa "juuu chini chini juuu" tatizo nn! Mbona hali imekuwa hivi!
1) Waliozuiwa wasiende shule kisa mimba sasa ruksa
2) Waliokuwa watendaji na kisifiwa wengi chaliiiiii wengine kumbe majambaz!!!
3) Bandari ya "bwaga moyo" ruksa
4) Uchumi wa kati kumbe ilikuwa hadaa alikuwa ni kopakopa!!!
5) Kale kakitongoji kuwa mkoa Noooooooo!!!
6) Madaraja juuu
7) Biashara na majirani iko poa!!!
8) Bwawa letu pendwa lilichokua mabilion halina maji!
9) Kufundisha uzalendo kwa kiswahili !!! Nooooo tupa kuleeee!

Sasa hata mwaka haujaisha legacy inayayuka mithili ya jibini katika jua Kali! Vipi ikiisha miaka mtano!
Tuheshimu wahenga

View attachment 2024232

Ukitaka ujue huyu jamaa alikua hatari ingia youtube chanel za nje anakubalika sana!!!...
Si lazma watu wamkubali sasa!!! Kinachofanyika n kuua legacy!!
Lakini ukweli HUWEZ UA IDEA NA ALIYOYAFANYA !!!...siku watz wataelewa tulikua tunaenda wap!! ...
 
Alifanya mazuri kwenu huku kwetu hakuna hata moja
1) hakuongeza mshahara kwa miaka mitano watumishi waliishi kama mashetani
2) aliwapanga watu wa kwao kila idara
3)kila kitu ilikuwa ni chato !!! Eboioo hivi kila rais angefanya hayo ingekuwaje!!
4)mikopo kwa elimu ya juu ilikuwa balaa hailipiki " eti mtetez wa wanyonge!!!
5) midege alonunua hasara tupu!!! Mpaka sasa kuna loss ya bil 600
6) bwala aliambia aendeleze gess akajiona mjiuaji sasa halina maji
7)ukabila na ukanda ndio zikikua agenda zake
8) PhD holder unahangaika na.mimba za watoto wa shule!??
9)eti kurudia uchaguzi za wabunge kisa chama chake kishinde!!! Kurudia uchaguz ni zaid ya bil 3
10) wasaidizi wake sasa mahakama zinadhibitisha ni majambazi!!!
Uongozi ni kipaji, si bahati nasibu!
 
Kopa kopa au sio?
Wewe umefanyia nini ili taifa tutakachojivunia?
Usipende kuangalia mapungufu angalia na mafaidiko pia.

Utakua ulikua na cheti feki si bure.

Ni mimi mkereketwa mwenye mapenzi dam dam na mwendazake a.k.a jiwe.
 
Kiukweli wahenga hawajawahi kukosea kila walichokisema hutokea
Mfano!!! Ivumayo haidumu,Ngoma ililia sana jua inapasuka!!! Mbio za sakafuni huishia ukingoni!!! Na mingine mingi tuuuuu
Sasa sisi wazee wa legacy tupo hoi!!!
Kwa sasa kila jiwe lina geuzwa "juuu chini chini juuu" tatizo nn! Mbona hali imekuwa hivi!
1) Waliozuiwa wasiende shule kisa mimba sasa ruksa
2) Waliokuwa watendaji na kisifiwa wengi chaliiiiii wengine kumbe majambaz!!!
3) Bandari ya "bwaga moyo" ruksa
4) Uchumi wa kati kumbe ilikuwa hadaa alikuwa ni kopakopa!!!
5) Kale kakitongoji kuwa mkoa Noooooooo!!!
6) Madaraja juuu
7) Biashara na majirani iko poa!!!
8) Bwawa letu pendwa lilichokua mabilion halina maji!
9) Kufundisha uzalendo kwa kiswahili !!! Nooooo tupa kuleeee!

Sasa hata mwaka haujaisha legacy inayayuka mithili ya jibini katika jua Kali! Vipi ikiisha miaka mtano!
Tuheshimu wahenga

View attachment 2024232
Nenda Facebook ukajifunze public willingness ndio utajua hujui.
 
Mwakani 2022 mwezi kama huu tutakuwa tuna mengi ya kumuongelea mama samia na mkwe wake Mohammed mchengerwa....tujipe muda, muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Ukitaka ujue huyu jamaa alikua hatari ingia youtube chanel za nje anakubalika sana!!!...
Si lazma watu wamkubali sasa!!! Kinachofanyika n kuua legacy!!
Lakini ukweli HUWEZ UA IDEA NA ALIYOYAFANYA !!!...siku watz wataelewa tulikua tunaenda wap!! ...
He was worse in the history of Tanganyika!!!
 
Kopa kopa au sio?
Wewe umefanyia nini ili taifa tutakachojivunia?
Usipende kuangalia mapungufu angalia na mafaidiko pia.

Utakua ulikua na cheti feki si bure.

Ni mimi mkereketwa mwenye mapenzi dam dam na mwendazake a.k.a jiwe.
Mfate si mlimwita mungu
 
Ukweli ni kwamba kuwapambania Binadamu inahitaji moyo sana, na pia utendapo mazuri usitegemee kupokea mazuri hii ni ili ule usemi wa " tenda mema nenda zako...".

JPM alifanya mazuri na mabaya pia, lakini mazuri yalikuwa mengi zaidi, lakini wapi!!! watu wanasimanga na kuona mabaya yake tu na siyo wapinzani tu bali hata watu waliokuwa karibu naye.

Nimalize kwa kusema, Watanzania wanaona yanayoendelea kwahiyo hawa vinyonga hawatadumu milele.
Hata yeye alidhani atadumu milele
 
Back
Top Bottom