Leeds United (The Whites)|Special Thread

Hali inaanza kuwa ngumu... Tumeshuka hadi nafasi ya tatu.... Brentford, ipswitch town na Villa... Tunahitaji tushinde zote kwa magoli mengi.... Kwenda kucheza playoff ni hatar zaidi...
 
championship.JPG


Leeds mwishoni tumezingua, ila ngoja tujaribi hizi Play off japo tunaweza kupata nafasi, Hongera kwa Norwich nad Sheffield kwa kupanda EPL...
 
Leeds hawa jamaa bahati hakuna. Toka washuke kurudi epl imekua changamoto. Wamekuwa na msimu mzuri lakini wamekosa bahati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom