Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Granted Faith

Member
Jul 4, 2021
57
292
Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao. Sasa hivi ndo imeshamiri haswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad.

Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi kwa hali hii Ukimwi utapungua kweli kwenye Vyuo

Wazazi waombeeni Binti zenu nyie ndo mtakaokuja kuteseka nao baadaye.

HALI NI MBAYA SANAA
What’s wrong with Girls of this Generation Asee Wanapenda slope sana.

1625734960743.png

 
Zinaitwa degree za chupi. Zimejaa sana mitaani ndio maana unakutana na graduate hata kujieleza tu shida.

Kiingereza chenyewe kinatia kichefuchefu. Unajiuliza huyu mtu alifaulu vipi mpaka kapata GPA ya 4? Then ghafla unakumbuka kumbe kuna degree za vyupi.
Hizi degree za chupi zinatusumbua sana huku maofisini kazi zenyewe hawawezi. Kutwa majungu na masafari tu ruhusa mwanzo mwisho matatizo ya kifamilia.
 
Zinaitwa degree za chupi. Zimejaa sana mitaani ndio maana unakutana na graduate hata kujieleza tu shida.

Kiingereza chenyewe kinatia kichefuchefu. Unajiuliza huyu mtu alifaulu vipi mpaka kapata GPA ya 4? Then ghafla unakumbuka kumbe kuna degree za vyupi.
Yaan hapa sijui utumike mfumo gan kuwanusuru mabint na hawa maharamia kwakweli.
 
Hilo lipo,

Hupingwi mkuu,

Ushauri:

Kwa kuwa ni rushwa ifanyikayo sirini basi ifikie dada zetu hao nao wajitambue...hao mazwazwa wakiwahitaji Basi wajitahidi kuwa na TAPE RECORDERS....wazitumie IPASAVYO kipindi Cha makubaliano na kuwa ni ushahidi watakaoupeleka TAKUKURU...

Kwa wale dada zetu wanaoshiriki hiyo rushwa kwa kutaka kubebwa kiukweli hatuwezi kuwasaidia kwani MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA DUGU MOJA.....

*****************
DADA ZETU BADILIKENI....
DADA ZETU CHANGAMKENI ....

Mtamaliza na maGPA makubwa pamoja na "mdudu" na kumbukeni kazi zenyewe za tabu ....shauri zenu mtaanza kumeza ARV's huku uchumi wenu mbovu usiowawezesha kula VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO .....

"MKANYE AKIRUDI AKIENDA MWACHE".

#KaziIendelee
#SamiaSuluhuHassanHoooyeeee
 
Yaani maofisini ndiyo majanga! hawajui kitu! Hata huko Kazi ni hiyo2 kwenda na maboss wao. Wakati wote ni ruhusa naumwa Mimi/mtoto/sijisikii kufanya Kazi/tumbo la chini linaniuma/naenda kupima chango sijui linataka mtoto nk.

Ndiyo maana weupe hawatakagi kabisa kuajiri Hawa jamaa! Halafu wanawaelekeza kuajiri 50/50! Only in Africa.
 
Na hii ndio sababu unakuta binti ako na hata masters lakini hata kuongea, kuandika na kusoma english shida tupu, kuna shida kubwa sana, na ndio unaona most graduates are just idle, are not creative, neither are they innovitive, na wanakaa tu mutaani , hawajui mbele wala nyuma, mimi as an employer i do and research very very well when hiring a lady graduate, all in all, ni kubaya
 
Hilo lipo.....

Hupingwi mkuu...
Tatizo mabint wenyewe ndio wanao taka mteremko wanataka GPA nzuri bila kujituma kusoma hivyo usitegemee wadada watoe ushirikiano katika hilo wakati wao ndio mara nyingi huwa wagitaji wakuu kwa kupenda kufanikiwa pasipo kuumia.

Ndio maana degree za sasa tenanhasa mabinti ni za hovyo na hazina hata uhalisia ni bora hata darasa la pili maana ni mambumbumbu pamoja na kuwa na degree
 
na hii ndio sababu unakuta binti ako na hata masters lakini hata kuongea , kuandika na kusoma english shida tupu,kuna shida kubwa sana, na ndio unaona most graduates are just idle, are not creative, neither are they innovitive, na wanakaa tu mutaani , hawajui mbele wala nyuma, mimi as an employer i do and research very very well when hiring a lady graduate, all in all, ni kubaya
Kama ni kweli kina mama tuna Hali mbaya mana mzigo wa mtoto mpumbavu hutupiwa mama
 
Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper Kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao Sasa hivi ndo imeshamiri aswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi Kwa hali hii Ukimwi utapungua kweli kwenye Vyuo
Wazazi waombeeni Binti zenu nyie ndo mtakao kuja kuteseka nao baadae
HALI NI MBAYA SANAA
What’s wrong with Girls of this Generation Asee Wanapenda slope sana

To be honest tunahitajika kuzungumza mno na hawa wasichana huko chuoni

Wanajirahisi kupita kiasi
Malecturer nao ni wanaume mashababi kuruka mitego ya hao wabinti ni Neema za Mungu

Yaani nawahurumia hao watakaotarajia kuoa hichi kizazi kilichopo chuo kwa sasa

Wanatumika mno jamani
 
na hii ndio sababu unakuta binti ako na hata masters lakini hata kuongea , kuandika na kusoma english shida tupu,kuna shida kubwa sana, na ndio unaona most graduates are just idle, are not creative, neither are they innovitive, na wanakaa tu mutaani , hawajui mbele wala nyuma, mimi as an employer i do and research very very well when hiring a lady graduate, all in all, ni kubaya

Niajiri basi Boss,
 
Back
Top Bottom