LeBron James:Ubaguzi wa rangi ni sehemu ya Marekani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Gwiji wa mchezo wa Kikapu, LeBron James amesema kuwa ubaguzi wa rangi ni sehemu ya maisha ya Dunia na Marekani katika maisha ya kila siku. Mkali huyo wa timu ya kikapu ya Cleveland Cavaliers ambao ni mabingwa watetezi wa ligi ya kikabu ya NBA ambao pia mwaka huu watajimwaga uwanjani kumenyana na Golden State Warriors(GSW) katika mfululizo wa fainali.

Hayo yameibuka baada ya mtu mmoja ambay bado hajafahamika kuandika maneno ya kibaguzi katika lango kuu la kuingilia katika nyumba ya mwanakikapu huyo.

LeBron amesema kuwa haijalishi wewe ni tajiri kiasi gani lakini kama ni mtu mweusi basi maisha huwa magumu sana.


bfefd44f6bc644cbb2575781925bf9ae_18.jpg

=====
An emotional but resolute Lebron James, the NBA superstar, has spoken up about the racism black people suffer in the United States after a racial slur was painted on a gate of his home in Los Angeles, California.

"No matter how much money you have, no matter how famous you are, no matter how many people admire you, being black in America - it's tough," James told reporters on Wednesday.

He was speaking from Oakland, on the eve of Game One of the NBA Finals, which pits James's reigning champion Cleveland Cavaliers against the Golden State Warriors.

He said: "It just goes to show that racism will always be a part of the world, a part of America.

"You know hate in America, especially for African Americans, is living every day. Even though that it's concealed most of the time, you know people hide their faces and will say things about you and when they see you they smile in your face, it's alive every single day," James added.

"But my family is safe, and that's what is important."

Racist attack

An unidentified person spray painted the "N-word" on the front gate of James' home in the Brentwood neighbourhood on Wednesday morning, Captain Patricia Sandoval, a spokeswoman for the Los Angeles Police Department, had earlier said.

James, 32, was not at the home at the time, but the property manager told officers that they believed the incident was captured on surveillance video, Sandoval said.

Police were notified around 6:45am, and the graffiti was quickly covered by property management staff.

Police are investigating it as an act of vandalism and possible hate crime.

James also said at the press conference that when he was told of the incident, he thought of the mother of Emmett Till, a black American who was lynched in 1995 at the age of 14.

Till's mother insisted her son's casket be left open at his funeral so the brutality of his death could be seen.

"We got a long way to go for us as a society and for us as African Americans until we feel equal in America."

James has spoken out before on social and political issues.

He denounced fatal police shootings of unarmed black men and endorsed Hillary Clinton of the Democrats for president.

Considered by many as the best basketball player currently in the world, James has won three NBA championships and four NBA Most Valuable Player Awards.

Source: Al Jazeera and news agencies
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ubaguzi hata Bongo upo, kuna wafanyakazi wa kiwanda fulanicha wahindi Nyerere Road waliwah kumlalamikia wazir Mhagama kuwa wanaitwa Kondoo weusi
 
Na sisi tumezidi mno kulalama,,,kila kukicha tunaonewa mara oh tunabaguliwa. Tupige kazi wazee kulalama haisaidii kitu.....anaebaguliwa mwacheni kivyake watajuana mbele ya safari na hao wazungu wake,,tusijifanye sie ndio masaporter wao.......sie tushughulike na yetu.....mbona waarabu wanafanyiwa ushenzi mkubwa na wazungu wananyang'anywa ardhi na kuuliwa n.k lakini hatusikii wakisema "tunabaguliwa au wanaroho mbaya au wanatumyanyasa hawa wazungu.....ni sisi tu kila day tunaonewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom