Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 2,742
- 4,931
Huyu ndugu yetu alijichanganya sana
Mkuu hii kitu inaitwa Draft huwa siielewi kabisa mi huwa naona tu madogo wanachaguliwa kwenda timu husika lakini siju utaratibu unakuwa vipi. Naomba ufafanuzi tafadhali inafanyika vipi hii kitu
Mkuu hii kitu inaitwa Draft huwa siielewi kabisa mi huwa naona tu madogo wanachaguliwa kwenda timu husika lakini siju utaratibu unakuwa vipi. Naomba ufafanuzi tafadhali inafanyika vipi hii kitu
Nafikiri hata yeye mwenyewe akimuangalia mchizi wake James Harden na ile contract ya Adidas ya $200m huwa inamuuma Sana na ukizingatia James Harden aliwahi kumwambia ana tamani sana angekuwa na Height Kama yake.