Maneno ya walio kata tamaa hao , yani una wish a death kwa mtu aliye fanikiwa tena kwa kwa jasho lake na talent hiyo hiyo aliyo pewa na huyo unaye msema aliweka Kifo .
Hawa jamaa they deserve to live and enjoy the fruits of their hard labour....King James (Lebron) kuendelea kuwa juu kwa miaka kadhaa sasa sio kazi ndogo. Ni Matunda ya nidhamu ya hali ya juu, kujituma katika mazoezi na kuzingatia malezi ya kimichezo kutoka kwa kocha wake!! Leo hapa kwetu mwanamichezo anashindwa kuwa kwenye form kwa miaka miwili tu.....kutwa kusoma magazeti ya udaku kuona wmemwagia ujiko gani aingia uswazi akakamate demu na pombe, vichwa hivyo wanaanza kujibizana na makocha nk..sijui ni lini watabadilika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.