Lebron James anunua nyumba ya dala milioni tisa!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,693
1,195
the-view-from-the-front.jpg
the-view-from-the-back.jpg
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,145
2,000
after five years he gone be bankrupt!!,by the way huyu ndg yetu mjamaa hasheem anapewa bei gani kwa mwaka?
 

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
225
after five years he gone be bankrupt!!,by the way huyu ndg yetu mjamaa hasheem anapewa bei gani kwa mwaka?

Usihofu, hajanunua kwa cash , analipia pole pole, pale yatakapo mshinda au yule Shaniqua wake waki divosi wanaweza iuza hiyo nyumba kwa thamani zaidi.
 

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
337
225
Hawa jamaa they deserve to live and enjoy the fruits of their hard labour....King James (Lebron) kuendelea kuwa juu kwa miaka kadhaa sasa sio kazi ndogo. Ni Matunda ya nidhamu ya hali ya juu, kujituma katika mazoezi na kuzingatia malezi ya kimichezo kutoka kwa kocha wake!! Leo hapa kwetu mwanamichezo anashindwa kuwa kwenye form kwa miaka miwili tu.....kutwa kusoma magazeti ya udaku kuona wmemwagia ujiko gani aingia uswazi akakamate demu na pombe, vichwa hivyo wanaanza kujibizana na makocha nk..sijui ni lini watabadilika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom