Lebanon yaangamiza mtandao wa kigaidi wa mossad wa israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Lebanon imefanikiwa kuangamiza mtandao wa kigaidi wa shirika la kijasusi la Mossad la utawala wa Kizayuni wa Israel.
Idara Kuu ya Usalama wa Umma Lebanon Alhamisi ilitangaza kuwa imefanikiwa kuwakamata watu ambao walikuwa wakihudumia mtandao wa kijasusi uliokuwa umeanzishwa na Mossad. Taarifa hiyo ilisema majasusi hao wa Mossad waliokamatwa walikuwa raia wawili wa Lebanon, Mpalestina na wanawake wawili raia wa Nepal.
Taarifa hiyo ilisema waliokamatwa walikuwa na uhusiano na balozi za Israel nchini Uturuki, Jordan, Uingereza na Nepal na kwamba walifikishia Mossad taarifa za siri kupitia balozi hizo.
Baada ya kushindwa vibaya katika vita vyake ya siku 33 dhidi ya Lebanon mwaka 2006, utawala haramu wa Israel umekuwa ukijaribu juu chini kupata taarifa za siri kuhusu uwezo wa kujihami na kijeshi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Utawala wa Kizayuni unaendeleza chokochoko katika mipaka ya Lebanon jambo ambalo ni ukiukwaji wa azimio nambari 1701 la Umoja wa Mataifa ambalo lilipitishwa baada ya vita hivyo vya siku 33. Azimio hilo liliutaka utawala huo usichukue hatua yoyote ya uchokozi dhidi ya Lebanon.
Hata hivyo utawala wa Israel umekuwa ukikiuka maazimio ya Umoja wa Mataifa na kuendeleza hatua za uhasama dhidi ya Lebanon.
Utawala wa Kizayuni wa Israel ungali unaendeleza ujasusi na ugaidi dhidi ya Lebanon. Kwa msingi huo kuna wasi wasi kuwa Utawala wa Israel utatumia taarifa zilizowasilishwa na majasusi hao kutekeleza hujuma zaidi za kigaidi dhidi ya watu wa Lebanon.
Lebanon imeshuhudia vitendo vingi vya ugaidi wa utawala wa Israel kwa lengo la kuibua fitina katika nchi hiyo ya Kiarabu. Mfano wa jinai hizo ni hatua ya utawala wa Kizayuni kutekeleza mauaji ya Rafiq Hariri waziri mkuu wa zamani wa Lebanon.
Nyaraka na ushahidi uliopo unaonyesha kuwa ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Israel ilikuwa ikifuatilia njia iliyokuwa ikitumiwa kila siku na Rafiq Hariri kabla ya kuuawa kwake kigaidi katika oparesheni ya Mossad.
Picha zilizochukuliwa na ndege hiyo ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni wa Israel zinaonyesha kuwa kabla ya kuuawa kwake kigaidi mwaka 2005, alikuwa akifuatiliwa kila siku ili kufanikisha ugaidi huo wa Mossad.
Kuendelea ujasusi na chokochoko za Israel dhidi ya Lebanon ni jambo linaloashiria kuwa utawala huo wa Kizayuni unapanga njama hatari sana dhidi ya nchi hiyo.
Ni wazi kuwa uhasama wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon hauishii tu katika kukalia kwa mabavu na kujitanua bali utawala huo unafuatilia sera za ugaidi na kuibua fitina na njama hatari zinginezo ili kueneza satwa yake Lebanon.
Kwa kuzingatia kuwa, wakuu wa Lebanon kwa mara kadhaa sasa wamebaini kuwa kuendelea ujasusi wa Israel sambamba na utawala huo kutega mabomu ya chini ya ardhi na kuweka vyombo vya kijasusi katika mpaka wa Lebanon ni mojawapo ya mbinu zinazotumiwa kuikalia kwa mabavu nchi hiyo, Lebanon inasisitiza kuhusu udharura wa Umoja wa Mataifa kukabiliana vikali na utawala wa Kizayuni wa Israel.
source; IRIB
 
Source yako?
 
Basi sawa,
 
Mimi naona Israel ina haki ya kufanya ujasusi maana anakua anajilinda kabla hata hajavamiwa na ukizingatia hapo amezungukwa na maadui kila upande mfano hai kuna ile Operation Orchard
 
pale unagundua raia wako wanakuchoma israel.

Jiulize wapo wangapi? Ni taarifa ngapi wameshavujisha?

Kweli Mosad ni khatar..
 
Lebanon imefanikiwa kuangamiza mtandao wa kigaidi wa shirika la kijasusi la Mossad la utawala wa Kizayuni wa Israel.
kuikalia kwa mabavu nchi hiyo, Lebanon inasisitiza kuhusu udharura wa Umoja wa Mataifa kukabiliana vikali na utawala wa Kizayuni wa Israel.
source; IRIB
habari iko biased mpk imepoteza maana halisi...(mtandao wa kigaidi wa mossad,utawala haramu wa israel) maana yake nn sasa?
 
nchi zote zinazoizunguka Israel zinaishia kulalamika kama wanauwezo siwampige.
 
Izi ni military base
 
Attachments

  • bases-in-iraq35.jpg
    bases-in-iraq35.jpg
    17.3 KB · Views: 71
  • bases-around-iran.png
    bases-around-iran.png
    124.9 KB · Views: 53
  • 11055fd2ff9efd0064a6ee00f6bafaf9.jpg
    11055fd2ff9efd0064a6ee00f6bafaf9.jpg
    38.7 KB · Views: 76
  • us-bases.jpg
    us-bases.jpg
    54 KB · Views: 53
Wao Iran inawauma sana kUzungukwa na military base nyingi na walishasema kwamba wataiondoa Israel katika Ramani ya Dunia. Wanakuja shituka washazungukwa
 
Mimi naona Israel ina haki ya kufanya ujasusi maana anakua anajilinda kabla hata hajavamiwa na ukizingatia hapo amezungukwa na maadui kila upande mfano hai kuna ile Operation Orchard
Na kumuua waziri mkuu mstaafu pia ni sawa eee?nyinyi watu kweli?
 
Back
Top Bottom