Lebanon: Raia waandamana kutaka viongozi wajiuzulu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Rai wa Lebanon wameandamana kuishinikiza viongozi wajiuzulu kutokana na mlipuko uliotokea uliosababisha vifo vya watu 157 na kujeruhi wengine 5,000

Aidha madhara ya tukio hilo yanaweza kuongezeka kwa kuwa bado shughuli za uokoaji zinaendelea, tangu tukio hilo lilipotokea Agosti 5

Mamlaka za Lebanoni zimeshawakamata watu 16 huku uchunguzi zaidi wa tukio hilo ukiendelea. Waziri wa Mambo ya Nje Charbel Wehbe amesema wameunda baraza litakalochunguza tukio hilo kwa siku nne

Pia maafisa waliopewa tahadhari ya kuiondoa Ammonium Nitrate katika bandari wamezuiwa kutoka majumbani mwao ‘home detention’ ili kupisha uchunguzi

===
Protests as Lebanon detains 16 over Beirut explosion

Protesters in Beirut call for government's resignation as authorities arrest 16 as part of probe into deadly blast.

Lebanese authorities have taken into custody 16 individuals as part of an investigation into the Beirut port warehouse explosion that shook the capital, state news agency NNA reported.

The Lebanese government has given an investigative committee probing the blast four days to determine responsibility for the explosion, Foreign Minister Charbel Wehbe told French radio.

French President Emmanuel Macron offered France's support for the Lebanese people on a visit to Beirut after the port blast, but said crisis-hit Lebanon would "continue to sink" unless its leaders carry out reforms.

Officials said the death toll from the explosion killing at least 157 people and injuring 5,000 others was expected to rise as search-and-rescue operations continued for people listed missing under the rubble in areas near the port.

Aljazeera
 
Waziri mkuu atajiuzulu, jioni hii, labda abembelezwe kubaki.
Meanwhile,
 
Back
Top Bottom