Leave Whatsapp group bila members wengine kujua

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,134
3,568
Kichwa cha habari chahusika,
Nikiri tu yakuwa mimi ni mmoja ya watumiaji wa mtandao pendwa wa Whatsapp ila nimekuwa nikikutana na changamoto ya kuungwa magroup mbalimbali bila ridhaa yangu hali inayopelekea kuwa na magroup mengi sana kuanzia la primary mpaka vyuo, ya kanda, harakati, biashara, vyama, team za mipira na za maofisi yote tuliyopita jumlisha na field za miaka hiyo ya chuo.

Kutokana na kero kama hizo huwa natamani sana nitoke katika baadhi ya magroup kwani mengi hayana tija tena ni story tu na vilugha visivyo vya mbele wala nyuma kitu ambacho kinanisababishia nifikirie kuleave group but kutokana na HESHIMA yangu na profile yangu nahofia nikitoka wataanza kusema anajifanya KASOMA SANA, mara sikuhizi ana HELA SANA au kisa ni MTU FULANI mbona zamani tuliwa naye au kisa.....

NAHITAJI MSAADA WA MA MAWAZO ON HOW I CAN LEAVE WHATSTAPP GROUP WITHOUT NOTIFICATION.

YANI ILE 0743...... has left the group isitokee kwenye group.
Nileft kimya kimya inawezekana wakuu?
 
Najiuliza tutapata wapi wataalam wa kusimamia viwanda tunavyoanzisha ikiwa tu kufanya maamuzi ya either kuwa kwenye group or kutokuwepo vinakupa shida kiasi hicho mpka unafungulia Uzi? Nafikiri ungejaribu hata kuficha shida kama hyo kwa kuuliza tu bila kueleza yanayokukuta inaonyesha ni jinsi gani uwezo wako wa kuamua jambo ulivyo na shida
 
Ni kitu ambacho kimewahi kunitokea nikiwa katika mihangaiko yangu, na pia kitaani ninapoishi. Siku moja nilikuwa naelekea kwenye mihangaiko yangu ilikuwa asubuhi, ile nashuka tu kwenye daladala nikamuona mrembo mmoja matata sana, nikaona nijaribu kusema nae tu maana nisipomsemesha sidhani kama nitakuja kumuona tena, basi ile namuita tu na kutaka kumchombeza akawa mkali balaa na kuniambia asubuhi yote hii unawaza kutongoza tu, akaenda zake. Mwingine ni mrembo yupo kitaani, nimetafuta sana nafasi ya kuongea nae muda wa kawaida sikupata kabisa, basi siku moja asubuhi sana ile natoka nje tu namuona huyu hapa anaelekea kuchota maji, nikaona bora nimalizane nae tu mida hiyo maana kumpata ni nadra sana. Aaah huyu nae akaniambia unakichaa wewe asubuhi asubuhi unataka kutongoza wanawake! Sasa ndo najiuliza wanawake hawapendi kutongozwa asubuhi?, na je kama ndio muda ambao ninauwezo wa kumuona nifanyeje sasa?
Kwa jinsi ulivyojibu ndio manaaa......form four
Nimeona umeanzisha thread nyingi zinazofana na hii.

Nakumbuka ulileta thread hapa unatafuta tiba ya depression na wadau walijaribu kukushauri kadiri ya upeo wao.

Swali kwako. Je, ulifanyia kazi ushauri uliotolewa?

Kwauzoefu wangu watu wanaopitia matatizo ya msongo wa mawazo huwa wanashindwa kufuata ushauri wanaopewa kwa makini.

Anajaribu hili siku chache asipoona matokea anarukia jambo jingine. Na inakuwa hivyo siku zote.

Nimesoma baadhi ya thread zako na nimegundua kitu.

Wewe huna chanzo kizuri cha kukuingizia mapato na hiyo inasumbua akili yako kupelekea over thinking.

Tiba muhimu kwako si ganja au aina yoyote ya pills.

Jitahidi kutafuta kazi uwe na kipato.

Pia kama huna mwenza tafuta itasaidia kupunguza mawazo.

Mahusiano ni muhimu hasa kwa watu wanaopitia hali kama yako.
NIKWELI SISI SOTE WAKULIMA SHAMBA LA JILANI LIKIPENDEZA UWEZI SHINDWA KUTAZAMA NDIO UTARATIBU MZURI UJUE NI AINA IPI YA MBOLEA KATUMIA NAWAKATI MWINGINE UNAKODI NAWEWE KUJUA KAMA LIKO VIZURI
Zanzibar hapana ,siku hiz meli zinazama kuvusha
Achana na hayo ma PM mkuu hao ni matapeli Kama uko serious
Nicheki Mimi kwa 0757195104.tena nakukojoza na pesa nakupa juu walahi Tena
Vigezo na masharti kuzingatiwa
bwana wake nipo hapa".. Asikwambie mtu mtoto ana papuchi teke sana utadhani ngozi ya mtoto mchanga
Mkuu bila picha tutakuelewa kweli?!sidhani!
Rafiki ni kitu gani? sijapakua, kile kile kilio changu cha MB
Hapana sina ngoma na nilishapima hii nikama miaka mitatu iliopita,na wala mganga hakunidinya
tena wewe ni wa mkono wa kulia
Mbona inaonekana majirani ni tegemezi sana
mmhh!! Naogopa sana mambo ya kufa hadi kufariki kwakweli.
Hipo = ❎
Ipo = ☑️
Ndio, tumekuwapo, bado tupo na tutazidi kuwapo!
Yani mtu mzima unaogopa kufanya kitu kisa mtu mwingine atalalamila?!kwani ni lazima uwe kwny hayo magrp kama unaona hamna cha maana unatoka tu
Ahsante sana, fundi bishoo , ubarikiwe sana
 
Kichwa cha habari chahusika,
Nikiri tu yakuwa mimi ni mmoja ya watumiaji wa mtandao pendwa wa Whatsapp ila nimekuwa nikikutana na changamoto ya kuungwa magroup mbalimbali bila ridhaa yangu hali inayopelekea kuwa na magroup mengi sana kuanzia la primary mpaka vyuo, ya kanda, harakati, biashara, vyama, team za mipira na za maofisi yote tuliyopita jumlisha na field za miaka hiyo ya chuo.

Kutokana na kero kama hizo huwa natamani sana nitoke katika baadhi ya magroup kwani mengi hayana tija tena ni story tu na vilugha visivyo vya mbele wala nyuma kitu ambacho kinanisababishia nifikirie kuleave group but kutokana na HESHIMA yangu na profile yangu nahofia nikitoka wataanza kusema anajifanya KASOMA SANA, mara sikuhizi ana HELA SANA au kisa ni MTU FULANI mbona zamani tuliwa naye au kisa.....

NAHITAJI MSAADA WA MA MAWAZO ON HOW I CAN LEAVE WHATSTAPP GROUP WITHOUT OTHER GROUP MEMBERS KNOWS
YANI ILE 0743...... has left the group isitokee kwenye group.
Nileft kimya kimya inawezekana wakuu?
Kwa nini usiage tu kiungwana. Kwa mfano, kabla hujatoka unaweza kusema, "Ndugu zangu ntakuwa nje ya group hili kwa muda. Nashukuru kwa kuwa nanyi kwa kpindi chote". Bila shaka haiwezi kuondoa maneno....hata ukibaki ndani ya group pia maneno hayakosi maana inawezekana huchangii mada, hucheki, hukemei, huungi mkono, lakini kila post unaisoma, hushukuru hata kwa post zenye faida kwako etc. Upo upo tu. So usiogope sana mitizamo au maneno ya watu.....kwa sababu huna uwezo wa kuwachagulia cha kufikiri au kusema juu yako.

Na nyakati nyingine unaweza kujidhani wewe ni wa muhimu sana kwenye group...labda ukitoka watalalamika....kumbe hata wanaokujua ni wachache...na wengine they actually won't/don't care ukiwepo ama ukitoka. So usiogope sana.
 
Ha ha ha ha ha ha pole san MKuu Shana Chuma
Mimi nafanya hivi nina namba mbili
1.Mawasiliano
2.Whatsapp

so hii ya whatsapp haina watu wengi, so naishi freely
na in case umeungwa pasipo kujua inabidi kwa unalimute group kwa mwaka mzima
kisha ondoa zile automatic download
hope utakuwa salama

Lakini pia kuwa na hofu kama yakwako ya kujitoa katika magroup ni nidhamu ya woga kaka
inabidi uwe na maamuzi kama mwanaume, inanipa wasiwasi vipi shida ikitokea katika familia yako utaweza kuihandle
 
Bado ntarudia kusema ma-IT wetu wengi wanaishia kuwa mafundi simu tu Aggrey sijaona jibu mpaka sasa hivi watu wanaruka makida makida tu.
Wanaodandia train kwa mbele nawaona mashoga tu mkuu!
Jf ya sasa sio ile ya zamani now unauliza kitu hupewi jibu unapangiwa namna ya kuishi.
 
Kwa nini usiage tu kiungwana. Kwa mfano, kabla hujatoka unaweza kusema, "Ndugu zangu ntakuwa nje ya group hili kwa muda. Nashukuru kwa kuwa nanyi kwa kpindi chote". Bila shaka haiwezi kuondoa maneno....hata ukibaki ndani ya group pia maneno hayakosi maana inawezekana huchangii mada, hucheki, hukemei, huungi mkono, lakini kila post unaisoma, hushukuru hata kwa post zenye faida kwako etc. Upo upo tu. So usiogope sana mitizamo au maneno ya watu.....kwa sababu huna uwezo wa kuwachagulia cha kufikiri au kusema juu yako.

Na nyakati nyingine unaweza kujidhani wewe ni wa muhimu sana kwenye group...labda ukitoka watalalamika....kumbe hata wanaokujua ni wachache...na wengine they actually won't/don't care ukiwepo ama ukitoka. So usiogope sana.
Shukran mkuu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom