Leave the President alone, you insurbodinates

Editor atakuwa amekosea lugha ila ujumbe umefika.

Man can you come up with constructive arguments that, Why should we Leave the Prezzo alone? or you are just supporting this rubbish stuff without critical analysis

Perharps you didnt understand the matter.Do you reaaly want to tell me that,you need somebody to teach you the meaning of "DEMOCRACY" from definition?

And yet you were there contending for mjumbe wa NEC? Ooops,gime a break!
 
Big up Mzee Mwanakiji. Nimekuwa so impressed with your constructive critisism. Huyu jamaa wa daily news anaonekana ni mmoja wa wale moderator wa Forum ya Daily news. Anauchungu na watu wanaoshusha facts with evidence kuonyesha jinsi gani mkuu wa kaya maji yako shingoni. Sasa mimi nashauri ilushe hiyo response yako na zingine huko kwenye forum ya daily news.
 
I have done that, and I'm glad nimejua ni nani actually penned that piece. Ameniambia through a correspondence "I am the editor who wrote that. Thank you for exercising ur right of opinion." So, nasubiri majibu yao au ndiyo imekuwa "opinion" huwa haijibiwi.
 
"Ameniambia through a correspondence "I am the editor who wrote that. Thank you for exercising ur right of opinion." So, nasubiri majibu yao au ndiyo imekuwa "opinion" huwa haijibiwi".

At least sasa wanajua kuwa sio wao tu wenye kwenye ku-analyze mambo(tena in a bias way). Wakaribishe jambo forum kwenye ngome kuu ya Hoja.
 
Na aliyeandika ni rafiki yangu wa muda mrefu tu; sijui kama amefanya hivyo kukwepesha lawama au vipi maana anayeandika editoriall I thought had to be an editor na yeye siyo editor (at least not in the strickiest sense of the word)
 
Duu! Mwanakijiji bana...yeye kila mtu anamjua na ni rafiki yake wa karibu! Sijui kuna mbunge gani....naye ni rafiki yake.....kila kona ya dunia yeye kafika kuanzia Brazil hadi Karachi...But hey...hata mimi Mwanakijiji ni rafiki yangu...I can claim that now....can't I?
 
mzee kumjua mtu na kuwa na urafiki na mtu ni vitu viwili tofauti. Nawajua watu wengi lakini ni wachache rafiki zangu. Ninaposema rafiki nina maana somebody ambaye naweza kumuaminia aniangalizie shemeji yako mdogo...
 
Mugo"The Great";104901 said:
"Ameniambia through a correspondence "I am the editor who wrote that. Thank you for exercising ur right of opinion." So, nasubiri majibu yao au ndiyo imekuwa "opinion" huwa haijibiwi".

At least sasa wanajua kuwa sio wao tu wenye kwenye ku-analyze mambo(tena in a bias way). Wakaribishe jambo forum kwenye ngome kuu ya Hoja.

Mugo, nina imani kubwa kuwa wengi wao wapo hapa tayari. Mimi mwenyewe nasubiri waimalike kidogo ili nijiunge na forum yao mpya waliyoanzisha. Katika kuendeleza hoja za Taifa letu na kueneza mapambano ya kifikra, lazima tuzingire Tanzania yote. Tuweke maoni yetu ya kuendeleza Taifa letu popote tuonapo panafaa. Uzuri sehemu za kutoa maoni ya Kitaifa zinazidi kuimarika na kuongezeka.

SteveD.
 
mzee kumjua mtu na kuwa na urafiki na mtu ni vitu viwili tofauti. Nawajua watu wengi lakini ni wachache rafiki zangu. Ninaposema rafiki nina maana somebody ambaye naweza kumuaminia aniangalizie shemeji yako mdogo...

Oh okay...so these people (or that person) know(s) you by your real name and they can easily put it out there if they wanted to...right? And this belief or notion that "some" people are burning to know who you are is somewhat unfounded...and they probably know who you are without you even knowing that they know you...
 
Nyani, my friends wanajua mimi na nani na wakitaka kuweka hadharani wataweka which mean hawakuwa marafiki zangu. Ninaowaita rafiki ni watu ambao hata tukigombana hatutukananiani mama zetu, hatuanzi kuhesabu makosa, na zaidi ya yote hatuumbuani. Ndiyo maana nimesema rafiki zangu ni wachache; wengine wamo humu tunagongana kila siku. Urafiki washinda undugu.
 
Duuh, wewe Mkjj, hapo juu yaani umeandika synopsis ya kitabu cha mahusiano bila kutegemea. Kama ningelikuwa nasoma psychology au sociology, ningefanya hiyo iwe proposal yangu..

SteveD.
 
Tulimwacha Mkapa alone lakini yeye alichotufanyia watanzania, nadhani daily news wanaweza kutuelezea kwenye tahariri yao tena
 
Going by the above editorial ... kuhusu Mkapa editorial haitakuwa tofauti na JK, watasema Mwacheni mzee wa watu apumzike kwa amani...., au acheni wivu wa kike or something similar !!
 
Back
Top Bottom