Learn the Law: Nini kilitangulia kati ya makosa na sheria

Sheria ni utumwa,watu wanatakiwa wae huru,sisi ni jamii ya wanyama kama wale ndugu zetu kule Mikumi na Serengeti national parks
 
Uwepo wa sheria ni sababu ya makosa, sheria ni kiashiria kwamba tunaweza kuishi tupendavyo (liberty) hivo, ilisababisha kupishana maslahi
 
Kwanza embu tafakari muasisi wa sheria wa kwanza ambaye ni Mungu mwenyewe alifanyaje. Dhambi ilianza ndio zikaja amri au amri ndio zilitangulia?
Ilianza sheria ambayo ni 'Msile tunda la mti wa katikati' then likaja kosa kwa Adam na Hawa kula tunda lile.
 
Back
Top Bottom