[Leaked] Facebook Wealth Formula,500$ Daily without having Website or A Product

Shukraan sana. Hapo screen shot yangu inaonesha VPN nadhani iko okay.
ad1ab3755f386ea4b008029e85f70044.jpg

Kitu kingine tukikwama tutazidi kuelekezana. So far vipi hali ya soko?
Kwa ufupi soko linakua kubwa au Dogo kulingana na bidhaa utakayo taka kuuza, ila pesa ipo kabisa kuna baadhi ya bidhaa commission yake ni kubwa kulingana na bei yake, na bidhaa zingine commission yake ndogo kutokana na bei ndogo ya bidhaa na hizo ndo unaweza ukauza kwa traffic ndogo ya kubahatisha kwa kushare sehemu mbali mbali.

Fanya uingie kwanza mkuu ndio utazidi ielewa vyema hii business na jinsi ilivyotamu.
 
Kwa mtaotaka kutumia njia hii

1.njia hii inahusisha fake f.b profiles : usiupload picha za watu wa fb au za kusearch google (kama alovyoandika writer) mana facebook wanaweza kutambua sio picha zako halisi na watakufungia account, so inabidi muupload picha ambazo hazipo fb wala google images.

2.usilogout profile ya f.b utakuwa disabled endapo utafata njia ya mwenye kitabu..i recommand one browser one fb account and do not log out.

3.kuupload contacts tumia google contacts(njia ya yahoo ya mwandishi inazingua nowadays) lakini hakikisha csv file yenye contacts isizidi contacts 5,000 na pia huruhusiwi kuupload csv files zaidi ya mara tano kwa siku moja lasivyo waweza kufungiwa hii feature so upload csv files angalau tatu kwa siku moja each not exceeding 5000 emails.

4.Acute email id generator ambayo muandishi katurecommand tutumie ni elf 52 lakini good news ni kwamba inaweza kuwa cracked so ukiitaji cracked version ntakufundisha kuivunja

5.Baada ya kupitia changamoto zilizofanya account zangu 5 ziwe banned saizi nmesahisha makosa kwa tips 1- 3 kwa sasa accouny yangu ina marafiki 4600 kilichobaki kwa sasa napiga mpunga kwa click bank japo sio dola 500 kama muandisho alivyoahidi lakini kwa siku hizi za mwanzo napiga average dola 30 kwa siku kwa kazi ya dakika 5 kwa siku:)o_O

NI hayo tu
Fanya mpango wq hyo cracked bro
 
Nenda post za juu kuna mtu kuweka maelezo namna ya kucrack hiyo software na video juu
 
Kupitia trick ya kwenye kitabu ya kutafuta watu kupitia email generator nilijaribu sema siku hiyo hiyo Facebook wakanifungia account yangu, labda waliofanikiwa na trick ya facebook waje hapa wakusaidie mkuu..

Sahv ndio nipo msituni huku kusoma njia zaidi za kupata wateja wa hizi products na kuziuza kwa njia tofauti na facebook iliyoandikwa kwenye hichi kitabu. Nikifanikiwa nitarejea hapa kuelezea kwa urefu zaidi..

Napia napenda tujumuike pamoja katika kutafuta mbinu na namna za kuuza hizi products na kuja kushare hapa ili tuwe pamoja kwenye safari hii ya mafanikio kupitia ClickBank..

Nikisoma articles na comments nyingi mtandaoni naona inalipa kweli kweli na mimi nimejitoa kuhakikisha na mimi niweze kuiona faida ya hii kitu.
ndugu yangu, Mark Zuckerberg ni mkali balaa. keshapita na account yangu 1 sasa hivi. Ntaenda nae sawa tu.....kama watu wa blog wanavyokomaa nae na sisi tukomae nae tu. $50 kila siku si kitoto
 
ndugu yangu, Mark Zuckerberg ni mkali balaa. keshapita na account yangu 1 sasa hivi. Ntaenda nae sawa tu.....kama watu wa blog wanavyokomaa nae na sisi tukomae nae tu. $50 kila siku si kitoto
Nina page account ina followers elf 16 vipi inafaa huko?na unaunganishaje kupata mkwanja?
 
Nina page account ina followers elf 16 vipi inafaa huko?na unaunganishaje kupata mkwanja?
Hao watu wwngi ni raia wa wapi? Maana wazungu ndio deal sana. Hiyo page inafaa kama tayari ushapata account ya clickbank. Chamsingi soma hicho kitabu namna ya kumonetize hiyo page yako.
 
Ngoja ni check kwa mimi nilitumia VPN ya Canada. waliuliza mambo kibao.
Sasa mkuu kwenye bank name ukiweka CRDB wanaikataa
Hizi ndio njia nilizotumia kutengeneza Account Click Bank ukizifutisha kwa umakini lazima ufaulu mitahani huu.

Kwanza kabisa nimetumia signup kwa kutumia simu Android browser Google Chrome, alafu muhimu sana kurun VPN App yeyoteunayotumia kwenye simu yako ili kubadilisha location yako na kwenda United Kingdom UK. Kwa sababu tunaenda kutumia Address Info za United UK.. Mimi nimetumia Monster VPN Link hii hapa kwa atakaye hitaji MONSTER VPN ni Premium Version yenye Nchi nyingi za Ulaya.

Baada ya hapo unainstall vpn then unairun halafa chagua UK kama server yako alaf connect, iki maliza kuconnect nenda kwenye Browser yako inaweza kua yeyote tu, ila na recommend utumie Chrome, Fungua Clickbank.com Nenda kwenye Create Account..

Kwenye ile form ya kwanza Jaza namna hii..
-Preferred Language: English
-Country: United Kingdom
-First Name: Weka jina lako Halisi la Kwanza.
-Last Name: Weka jina lako Halisi la Mwisho.
-Street Address: 83 Southend Avenue
-Apt/ Suite/ Other: Hapo usijaze kitu paache hivyo hvyo.
-Postal Code: TN3 9UE
-State: SWINDON
-City: BLAKHAN
-Phone Number: Weka namba yako ya simu/ au namba yeyote ya simu ilimradi iwena Tarakimu 10.
-Email: Weka Email yako unayotaka kusignup nayo Clickbank.

Hapo utakua umemaliza kipengele cha kwanza vuzuri kabisa na kwakutumia detail hizo hapo juu ukienda next utakutana na Maswali haya.

-Payee Name: Weka Jina Lako ambalo lipo kwenye Kadi yako ya Benki.
-Bank Name: Weka jina la bank yako utakayotumia kipindi unataka kutoa pesa zako.
-Bank Country: Weka United Kingdom UK.


Hapo utakua unakaribia mwisho kabisa kupata account yako ya Clickbank tumalizie sehemu ya mwisho kwenye Form ya kujiunga.

- Nickname: Weka nickname yako ambayo ni kama username yako kwenye Clickbank.
-Password: Password yako wanarecommend utumie atleast Herufi kubwa 2, Herufi ndogo 2, Tarakimu (namba 2) na Special character 2 Mfano (!@#$%^&)


Kwenye option ya kulink Existing Account iache hvyo hvyo usiweke tiki hapo. Baada ya hapo utakua umemaliza kutengeneza account account watatuma email kwa ajili ya verification unaenda kwenye email yako unaverify mchezo umeisha.

NB: Zingatia sheria ya kwanza kabisa ukiwa unafanya hii registration hakikisha VPN yako iko connected successful na servers za UK. Mengineyo zaidi kuhusu kwa nini tunatimia Address za Uk halafu bank ya Tanzania.. Hayo maswali majibu yake yapo kwenye Kitabu kilichowekwa humu na mkuu mwanzoni kabisa kwenye uzi huu.
 
mkuu Mimi nimekidownload ila kunausumbufu kweli click to download yani hadi uwe mvumilivu kweli kuclick..nimekisoma nimekielewa kinaeleza mbinu za kutengeneza pesa kwa njia Facebook, njia kupafa marafiki walioko active kwa kukusanya email za wahusika ukitumia software inaitwa "acute email Ids" baada ya kufika limits ya frnds 5k, hapo ndo unaanza kugungua fan page ambapo tatari utaanza kupiga hela kupitia website inaitwa "clickbank" hiyo nj kwa ufupi tu
Weka kitabu hapa
 
Kwa ufupi soko linakua kubwa au Dogo kulingana na bidhaa utakayo taka kuuza, ila pesa ipo kabisa kuna baadhi ya bidhaa commission yake ni kubwa kulingana na bei yake, na bidhaa zingine commission yake ndogo kutokana na bei ndogo ya bidhaa na hizo ndo unaweza ukauza kwa traffic ndogo ya kubahatisha kwa kushare sehemu mbali mbali.

Fanya uingie kwanza mkuu ndio utazidi ielewa vyema hii business na jinsi ilivyotamu.
soko gani tena, kumbe unakuwa na fan pg halafu unauza vitu ndio upate hela, mi nilifikiri kuna namna nyingine, sasa kama hauna kitu cha kuuza mtandaoni....tutoe tongotongo mkuu. thanks.
 
Ukishapata account ya clickbank si unaweza tu ku login bila kutumia VPN computer au device yoyote ile au lazima kila mara unapoingia uweke VPN?
 
Kwa ufupi soko linakua kubwa au Dogo kulingana na bidhaa utakayo taka kuuza, ila pesa ipo kabisa kuna baadhi ya bidhaa commission yake ni kubwa kulingana na bei yake, na bidhaa zingine commission yake ndogo kutokana na bei ndogo ya bidhaa na hizo ndo unaweza ukauza kwa traffic ndogo ya kubahatisha kwa kushare sehemu mbali mbali.

Fanya uingie kwanza mkuu ndio utazidi ielewa vyema hii business na jinsi ilivyotamu.
Hizo bidhaa unapewa na makampuni uwauzie au zinakuwa zako
 
Wakuu... Msaada wa majibu ya haya maswali.

1. Je, ninapofungua Facebook account niweke nchi fake au halisi?

2. Nawezaje pata picha ambazo hazina wenyewe?

3. Je, kufungua/kujiunga Na click bank ni lazima nifikishe friend 100+?

4. Acute Email I'd generator inatumikaje?

5. Mfano Leo nime upload contacts 1000 kwenye email yangu, kesho nikizi generate tena, je kabla ya kuzi upload kwenye email yangu, si lazima nifute zile za Jana ili kuzuia double import kwenye Facebook?

Ahsante..
 
Back
Top Bottom