Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.

mimikaye

Member
Jun 5, 2013
88
48
Well done malecela jr aka le mutuz aka mutu ya watu aka mutu ya juu kabisa. Huyu jamaa anajua kucheza na akili za biashara.

How? Jamaa nyie mnavyozidi kulopoka mitandaoni basi yeye he is laughing straight to the bank na kwa tarifa yenu ile nyumba sio ya mama ake le mutuz ...ebu jiangalieni. ..shame on you for buying such a silly joke..anayetaka nimpeleke kwa mama ake le mutuz aniambie hapa...jamaa anajua jinsi ya kukaa relevant or juu ni nyie kumkaa midomoni mwenu. . haya si mnaona ma queen wa media kina kim kardashian or kwa hapa le domoz aka le tandalez aka le king of mabebez wote anavyowakaa midomoni kwa story fake kukicha sasa hivi mnaangaika na shemeji wenu wa uganda. ..mazafantaaaa
 
Hii style ya uandishi anaiweza kakangu Pasco tuu. Nyie vijana bado mnajaribu. Sasa hadi hueleweki unataka nini haswaaa kwa lile leputoz
 
Last edited by a moderator:
We done Malecela Jr aka le mutuz
Aka mutu ya watu aka mutu ya juu kabisa..
Haya jamaa anajua kucheza na akili za ya biashara ...How? ?jamaa nyie mnavyozidi
kulopoka mitandaoni basi yeye he is laughing straight to the bank...na Kwa tarifa yenu ile nyumba sio ya mama ake
le mutuz ...ebu jiangalieni. ..shame on you for buying such a silly joke..anayetaka nimpeleke Kwa mama ake le mutuz aniambie hapa...jamaa anajua jinsi ya kukaa relevant or juu ni nyie kumkaa midomoni mwenu. .
haya si mnaona ma queen wa media kina kim kardashian or Kwa hapa le domoz aka
le Tandalez aka le king of mabebez wote
anavyowakaa midomoni Kwa story fake kukicha
sasa hivi mnaangaika na shemeji wenu wa
Uganda. ..mazafantaaaa

- Hahahahahaahahhaa this is wasap U know hahahaha duh I am humbled na another thread kila siku average two threads Le Mutuz Nation thank you mamen umetisha U know!!

Le Mutuz
 
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....

Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....

- No nipo busy natengeneza ofisi yangu mpya hapa Tancot House, next week nahamishia hapa kampuni yangu ndio maana nipo busy sana

Le Mutuz
 
Mleta thread ni huyo huyo mchangiaji tumeshakujua mchezo wako we le mburura
 
- No nipo busy natengeneza ofisi yangu mpya hapa Tancot House, next week nahamishia hapa kampuni yangu ndio maana nipo busy sana

Le Mutuz

Hahahaaa sasa hivi umepanga au ndo kama kawa unavamia ofisi za watuuu? manake nasikia unavamia ofisi za watu unatafuta kona unaweka meza na desktop yako unaanza kujiphotoa uko ofisini....

Halafu wewe babu yangu utakuwa hufadhiliki, Kwa Juma pinto umehama, kwa Chicago umehama, sasa hivi unavamia ofisi ya nani?
 
Aaaaahhh mlipa Mpiga ngoma, Mpiga ngoma, mkata mauno, mchagua wimbo, mkusanya kiingilio, mlipa kiingilio ni MTU yuleyule.
As we approach October tutaona mengi kinyama
 
Hahahaaa sasa hivi umepanga au ndo kama kawa unavamia ofisi za watuuu? manake nasikia unavamia ofisi za watu unatafuta kona unaweka meza na desktop yako unaanza kujiphotoa uko ofisini....

Halafu wewe babu yangu utakuwa hufadhiliki, Kwa Juma pinto umehama, kwa Chicago umehama, sasa hivi unavamia ofisi ya nani?

Hahahaa ila Kim unambana sana huyu babu yetu si vizuri kwa wajukuu kuwananga vibabu vyetu muwache tuuu
 
Hahahah shosti una maneno...ingawa yote ni kweli

Chezea matipo aidii...jamaa anajianzishia uzi tu....mradi wamzungumze

Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....

Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom