Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
LEMUTUZ887.png

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu jana alionekana viwanja vya Hilton Double Tree Hotel akiwa anavinjali na mzee mzima Le Mutuz anaejiita "The King Of All Bongo Social Media Network".

Wakiwa kwenye viwanja vya hotelini hapo wakiwa wenye nyuso za furaha na mbele yao kuna meza yenye glass mbili za vinywaji, Le Mutuz ambae jina lake halisi ni Wiliam Malecela alizitupia picha hizi mtandaoni na wakiwa katika mpozi mbalimbali na kuandika;

"Leo ni all my Super Friend Actress Super Star Lulu U know nampendazzzz mpaka naumwa U know she is just sweet
chick U know and smart no nonsense baby! - le Mutuz"

Chanzo: Bongomovies.com
 
Kale katoto kalivyo kafupi jamaa limekaa na bado likaina ili limfikie huyo mzee wapige picha, ila nasikia jamaa eti ni Kamuzu, cjui ni kweli!
 
Picha anapiga Le Mutuz alafu aibu nasikiaga mm,sijui kwa nn?

- Wewe sio Big Celebirty so Super Star Actress Lulu hawezi ku hang oout na mtu anayeona aibu U know so haya mambo tuwachie sisi Big Celebrity!!, halafu pale Hilton si unajua Soda Buku 10 so hahahahahaha lazima mtumzima uone aibu hata kuangalia le wabebezzz wa ukhuweeeeeee U know me I love it!!

Le Mutuz
 
Hail the king..lord le mutuz, you are the best kwa kweli
 
- Chezeya The King Of All Bongo Social Media Network hivi Mwanaume gani humu JF asingependa ku hang out na le mbebezzz Super Star Actress Lulu Michael? Please wanaume wazima mnaacha kazi kufuatilia maisha ya wanaume wengine vipi jamani? I mean kama nipo na Super Star Lulu tunakula batazz na wewe nenda utafute le mbebezzz na wewe ukare batazz sio kulia lia hapa kama mtoto sasa unafikiri ndio Le wabebez Super star watakuonea huruma? Hapa mjini hapa kila mtu anakula kwa urefu wa kama yake!! hahahahahahaha and I love it!!

- Si niliwaahidi jamani kwamba nyie mtanisoma tu mpaka mkome kufuatil;ia maisha ya wanaume wasiowahusu U know!!

yeah,u know
 
Hahahahahaahahaha le mutuz ningekuwa mwalimu wako kila siku ngekuwa nabadilisha marking scheme,majibu yako chiboko
 
Hakuna noma ila unaongea kama Isha mashauzi

- Now unajisema mwenyewe kumbe ni Isha Mashauzi hahahahahahahahahah U know unajivua nguo mwenyewe bila kuulizwa U know hahahahahah, it takes Isha Mshauzi kumjua Isha Mashauzi bila kumuona U know hahahahahah

Le Mutuz
 
- Chezeya The King Of All Bongo Social Media Network hivi Mwanaume gani humu JF asingependa ku hang out na le mbebezzz Super Star Actress Lulu Michael? Please wanaume wazima mnaacha kazi kufuatilia maisha ya wanaume wengine vipi jamani? I mean kama nipo na Super Star Lulu tunakula batazz na wewe nenda utafute le mbebezzz na wewe ukare batazz sio kulia lia hapa kama mtoto sasa unafikiri ndio Le wabebez Super star watakuonea huruma? Hapa mjini hapa kila mtu anakula kwa urefu wa kama yake!! hahahahahahaha and I love it!!

- Si niliwaahidi jamani kwamba nyie mtanisoma tu mpaka mkome kufuatil;ia maisha ya wanaume wasiowahusu U know!!

Le Mutuz

hahahahahahah nakukubali sana le tamkozzz
 
Leo party ya zari mbona haujaenda?Au kakunyima nauli? Ungemuomba mdogo wako Diamond akulipie
 
hahahahahahah nakukubali sana le tamkozzz

- Hahahahaa I am just having Fun with my life U know and U know I am in love with my lifstyle na ninajua kuwa watu wengi wangependa kuwa na my lifestyle ila hwana jinsi U know so waniwache niendelee na my Fun, sina shida ya uwaziri wala anything I just want to have fun with my life asiyetaka AFWE for me!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom