Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

- Ninazo akili nyingi sana za kunitosha kujua kwamba Shetani hatakubali na akijaribu ndio sasa nimeapa kumuweka wazi niliyoyaandika hapo hayafikii hata robo ya ukweli wote, hahahahahaha mwambie enough kama haamini ajaribu tu hahahaha

le Mutuz
Ubongo, upeo na fikra zako zimechola.
Ulishindwa ujanani unamalizika Sasa

Ujio wa Umri William.

Pole Mzee mwenzangu
 
View attachment 704149
PART 70:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Baada ya kuondoka kwake tu my ex siku moja ofisini kwangu akaja mtu aliyejitambulisha kua ni Mwanasheria wake, akasema kamtuma tupange namna ya kugawana Mali zangu hasa Shamba na Nyumba yangu kule Kinyerezi. I almost fainted WHAAAT? nikamuambia yule Mwanasheria arudi kesho yake tuongee alipokuja nikamuwekea Makaratasi ya Mali zangu zote mezani na kumuomba anionyeshe ipi inayo onyesha mimi na yeye tunamiliki Mali zangu pamoja? nikamuonyesha Mlango alioingilia kua siku akirudi tena ofisini kwangu nitampa kipigo cha mbwa mwizi jinsi nilivyokua nimemchenjia ujumbe ulifika hakuwahi kurudi tena ...

Nilijua hasira ya my ex kushindwa kunipata kwa kuwatumia watoto kitawaka moto kweli alipofika tu USA akaanza matusi mapya ya kutisha hasa kwa Marehemu Mama yangu alitukana hasa sikua na wasi wasi cause asingefanya hivyo nisingejua kua nimempata at her games ..kinachomuumiza sana ni pesa anapenda pesa na pesa anazotumia sana ni za biashara ambazo yeye alikua amepanga kuzitumia kujifanyia mambo yake binafsi kashindwa cause nilimuwahi nikakimbia ...hahahaha...

Guys amkeni usingizini, ninayoyasema hapa huenda yanakukuta now au yatakukuta mbele ya safari. Usikubali kuangamizwa na Mwanamke mjinga kwa kisingizio cha maadili au Uanamme. Huwezi kua Mwanaume Mungu anayetaka uwe kama hauna Amani kwa sababu ya mke wako au mpenzi wako ...NA KUMBUKA SIKU ZOTE UKIONA MPENZI WAKO KICHWA KINAMUOTA MAPEMBE UJUE ANA SPARE TAYARI ....dawa ya Mwanamke mjinga ni kumuwacha hapo hapo au utaumia na ukimuwacha usiangalie nyuma tena utaumia na hasa OGOPA MWANAMKE MWENYE TAMAA YA MALI na OVER AMBITIONS, huwa hawajui wanalolifanya ingawa wao hujifanya wanajua sana utawasikia "I WANT TO BE FINANCIALLY SECURED", ukisikia Mwanamke anaimba hizi nyimbo kimbia utaumia ...

Imenichukua Miaka 4 ku overcome Completely yote niliyopitia kwenye ndoa ...yakikukuta tafuta ushauri usijifanye Mwanaume sana utakufa sio wanaume wote wapo kama mimi ambaye ninaweza kubeba maumivu bila kulia lia nikijua kua nitayavuka na ni muhimu kuyapitia for my own good....leo nipo tayari kuoa tena siogopi cause Mwanamke mmoja tu hawezi kunifanya kuacha kupenda wapo wanawake wazuri wa roho na tabia!

* * * * * * * * MWISHO! * * * * * * * * *


- Le
You have a strong character ingekuwa sisi wengine tungebaki tunalialia tu.Congrats
 
Naww hata uje na Id's nyingi kiasi gan tambua tumeshakuelewa kuwa ni mwanamke shetani na utakufa domo wazi na kabla ya hapo utajuta.
Mwanamke shetani ni m.a.m.a yako aliekuzaa ndio atakufa domo wazi. Njoo na uthibitisho wa id zangu nyingine
 
- Nimekusoma mkuu kanyaga twende nimebakiza moja tu ya 70 ya mwisho, kanyaga twende!

le Mutuz
Mzee baba story yako kuhusu ndoa nimeanza kuielewa umenifindisha kitu wanawake ni watu wajinga Sana. Nafuatilia kwa umakini ntafanya conclusion yangu mwenyewe ila umenipa experience
 
View attachment 703984
PART 66:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Picha ya maneno yanayoniongoza sana in my life ...Swiss Air ikaruka from Zurich I was happy that kuondoka kwangu USA kumeacha a big impact sikua na wasi wasi sana. Nilijua wasioelewa watakuja kuelewa tu baadaye kilichotokea lakini yalikua maamuzi magumu mazito I had to take kujilinda mimi kwanza. Kwa mara nyingine nikajifunza its not about Mali na Dunia its about Peace Of Mind First ..

Now nikaanza kupiga picha ya nitakapofika Bongo yes Baba yangu alikua anajua na nilikua ninafikia nyumbani kwake Seaview kwa sababu nyumba yangu Kinyerezi haijaisha lakini hata ingekua ningeanzaje? ..baada ya kumnunulia zawadi Baba yangu Duty Free nikawa nimebaki exactly na Dola 1000 tu! Kila nilipojaribu kufikiria Bongo akili ilikua inagonga ukuta nikaamua kuacha kabisa kufikiria Bongo na kujali kufika kwanza na Amani yangu kwanza mengine baadaye.

Nilikua ninajua Uadui wa baina yangu na Dada zangu from my Step Mother lakini sikujua how big umefikia mpaka nilipofikia nyumbani kwa Baba yangu ...nikafika JKN straight home ilikua usiku nikapewa Chumba nilichoishia kuishi kwa Mwaka mzima huku nikiwa natafuta Apartment Mjini kimya kimya bila kumuambia mtu. Isipokua nikatulia sana baada ya kufika nilikua nalala sana Maisha yangu yote nilikua nakimbia Maili 10 kwa siku kila asubuhi lakini toka matatizo ya my ex yaanze nikaacha...

Baada ya Wiki moja tu ya kupumzika nikaanza kupiga hesabu wapi pa kuanzia? Nikaenda GMO pale Samora Avenue nikanunua a Used Laptop aina ya Dell nikafungua "LE MUTUZ BLOGU YA WANANCHI". Makelele kutoka USA yakawa yanakuja kwa magunia duh sikuamini my ex genge lake waliposikia nimefungua Blog wwkaandika Barua Interpol na Google kuomba ifungwe kwa bahati nzuri Ofisa mmoja mkubwa wa Serikali anayenifahamu akanionyesha Copy iliyotumwa Kitengo kimoja Serikalini..

The next thing is my ex ikawa inabidi asaidiwe na Serikali na ili kupata ule msaada kutoka kwenye my penshion ilikua ni lazima mimi nisaini makaratasi fulani ya Serikali kumruhusu asaidiwe so akamtuma Kaka yake aliyenifuata kwa upole sana nimsadiie kusaini ila nilitakiwa nikayasaiini Ubalozi wa USA nikaenda nikasaini bila ubishi akaanza kusaidiwa na baada ya kama wiki 2
..ITAENDELEA
Mkeo alikua mchawi akizeeka atageuka jini
 
Back
Top Bottom