Lcd led plasma tv repair services

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,898
5,867
Dear all Now We undertake all type of Repair of LCD,LED and Plasma TV and all type of Projectors.Just PM me if you would like to get more info
 
samsung LED series 4 haina audio output,

je waweza fanya lolote ipate audio output bila kuharibu/ kwenda kinyume na warrant?,
coz nimepewa warant miez 24, hapa nimetumia miez 3 tu

If yes we can talk
 
Dear all Now We undertake all type of Repair of LCD,LED and Plasma TV and all type of Projectors.Just PM me if you would like to get more info

Please naomba uni inbox your business no.nina tv ninazituma .i will appreciate
 
Dear all Now We undertake all type of Repair of LCD,LED and Plasma TV and all type of Projectors.Just PM me if you would like to get more info
Nina SONY KVL 46W400A mpya imevunjika screen unaweza kunipatia hiyo kitu niambie na bei yako kama unaweza replace hiyo
 
secreen nnaweza kukupatia,je nnaweza pata no ya kioo kilichovunjika? ipo mkoa upi? sisi tupo Dar
 
Siwezi kujua part no sababu lazima kubomoa TV hiyo itakua kazi yako kama fundi fatilia hiyo model no niliyotoa utapata part no mkuu niko hapahapa Bongo town
 
dear all now we undertake all type of repair of lcd,led and plasma tv and all type of projectors.just pm me if you would like to get more info

hii ni hatari, je warranty ina kazi gani?
Au haya ma tv ni bomu kiasi kwamba warranty ikiisha tu yanakuwa ni ya kutupwa?
 
model moja ya TV ina weza isifanane na nyingine kwani wanaweza tumia disply tofauti toka kwa diferent manufactures.Ok let me check ila ungenirahisishia iwapo ningepata LCD part no.ngoja nicheki ntakujulisha mkuu aina shida

Siwezi kujua part no sababu lazima kubomoa TV hiyo itakua kazi yako kama fundi fatilia hiyo model no niliyotoa utapata part no mkuu niko hapahapa Bongo town
 
hii ni hatari, je warranty ina kazi gani?
Au haya ma tv ni bomu kiasi kwamba warranty ikiisha tu yanakuwa ni ya kutupwa?
Uzoefu wetu ni kuwa most of repair workshop(zinazorepair Electronics equipment with warranty hapa Tanzania azina mafundi waliobobea,unaweza ukaipeleka ukaishia kupewa kiswahili.Au kuna ,mdau hapa Jamvini anapingana na ukweli huu?
 
Oya chipukizi nahitaji no yako ya simu mimi natv yangu mbovu nahitaji hata kesho kutengeneza hii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom