Lazima uwe mume -----..

huyu yuko poa kabisa anahitaji hoja zenye nguvu tu
sasa ukiwa nae ndani kama hoja zako zimelala
lazima ashike usukani
Mkuu ila lazima akuchoshe tu yaani kazini mihoja nyumbani mihoja mwanamke shurti atii bwana hata kama kidume umekosea anakuwa mpole mambo ya hoja baadae sana.
 
Mkuu ila lazima akuchoshe tu yaani kazini mihoja nyumbani mihoja mwanamke shurti atii bwana hata kama kidume umekosea anakuwa mpole mambo ya hoja baadae sana.

teh teh teh umenikumbusha i see kuna mmoja huyo nilipata yeye muda wote FB au JF hata kunako uwanja wa mapambano yeye anachat anasema si nimekuachia huko kazi kwako
 
hahahaha mkuu kwani hujaona akina mama majaji au mapolisi au walimu wakuu au mjeshi na wanakuwa wanoko balaa kwa mmewe anakuwa zezeta na kama kichapo anachezea kama kawa na manundu juu
ahahahah..live live mkuu..
 
hahahaha mkuu kwani hujaona akina mama majaji au mapolisi au walimu wakuu au mjeshi na wanakuwa wanoko balaa kwa mmewe anakuwa zezeta na kama kichapo anachezea kama kawa na manundu juu

Kama Spika au?? Maana mi najua type hizo wengi wana watoto bila waume
 
hao watoto wamewapata kama bikira Maria? Si walivua kwa ridhaa yao!

Walivua ndio lakin mi naongelea wale wanaoishi na waume zao kwa status hizo ulizosema. Na kuvua wala sio kuolewa.
 
Walivua ndio lakin mi naongelea wale wanaoishi na waume zao kwa status hizo ulizosema. Na kuvua wala sio kuolewa.

wanaume huwa hatupendi kuoa mwanamke mwenye mdomo mrefu kila kitu pye pye pye hawa wanaishia kufanyiwa mazoezi tu
 
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume bweg- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.

kwasababu umemtongoza kakukataa ndo unasema mtata
 
Hahahaaaaaa! Mi ugomvi wangu ni wa kutumia kaili zaidi si muscles!!!!!!!! Ujue mimi NACHOKITAKA MIMI KUKIFANIKISHA I HAVE TO MAKE IT HAPPEN!!!!!!1 NO MATTER WHAT!!!!!!! Sasa mda mwengine ili ufanikishe ukitakacho inabidi Amani ipotee! So be it!!!!!!! Ila jambo langu kusimaa No!!!!!

Sasa my weakness nakuwa nimejiandaa na obstacles kukabiliana nazo, bt nikikuta tambarare, watu so supportive yaani naanza kufeel guilty kama im taking advantage of them!
Na ndo wanawake karibu wote walivyo, ugomvi wao ni kwa maneno. Utampa neno moja yeye keshateleza kumi. Lakini kwako is more than that. WE MKOROFI BANA UNABISHA NINI..???
 
Acha ushambaaaa! Sema tulipeana raha sio waligonga!!!! Sex ni haki yenu wanaume sio privillage au honour!!!!! CHILL OUT ITS JUST SEX!!!!!!!

acha kelele mlipeana raha wapi? ulining'inizwaaaa chezea kula hela ya mtu
 
Na ndo wanawake karibu wote walivyo, ugomvi wao ni kwa maneno. Utampa neno moja yeye keshateleza kumi. Lakini kwako is more than that. WE MKOROFI BANA UNABISHA NINI..???

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! WE WAZA UWAZAVYO HUNIONGEZEI KITU WALA HUPUNGUZI KITU MAISHANI MWANGU! YAANI KIFUPI YOU ARE A NOBODY!!!!!!! Upo hapo!
 
Haahahaaaaa! Quotes nyingi sana plus niko busy! Ila in short UWE MWANAUME AU MWANAMKE INATEGEMEA SANAAAA NA MUONEKANO PLUS KISU/MKWANJA ULIO NAO!!!!!!! So unaweza kuwa mwanume ndio ila maisha yakooooo sikutazami mara mbili hata niwe na shida kiasi gani ya mwanaume! WE CALL STANDARDS!!!!!!!! VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!!!!!!!!!!!

So wakuu nyie pigeni kelele ila kila mtu na standards zake za kitu! Na istoshe kila mtu na chaguo lake!!!! BINAFSI SIPENDI KUWA CHAGUO LA WANAUME WASIO WAUKWEEEEE YAANI NI USUMBUFU PLUS INAKUSHIA HADHI KUPENDWA NA MTU DESIGN HIYO!!!!!!!! MPO HAPO!
 
Back
Top Bottom