Lazima utakuwa unajua!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,606
hakuna sehemu inayokosa jina, haya majina yalitokana n tukio fulani!
mfano kule Tanga kuna mwembebasha -inasemekana jina hilo lilitokana na matukio yake kuwa kila aliyepumzika kwenye huo mwembe alipitiwa na ucngizi na aamkapo popobawa anakuwa keshapita zamaaani
 
ziwa victoria lilikuwa na jina lake la asili lakini lilikuja batizwa jina la Victoria kwa heshima ya malkia wa uingereza wakati huo TANGANYIKA ikiwa koloni la waingereza
 
Back
Top Bottom