Lazima tufungue Chuo cha Research kama tunataka uchumi wetu upae

Naunga Mkono hoja..but wasi wasi ni kama wa wachangiaji wengine..IMPLEMENTATION ya hizo findings!!!!!!Je tafiti za REPOA na taasisi zingine zinafanyiwa kazi?
 
shida si vyuo,tatizo ni utekelezaji wa matokeo ya utafiti!!!ukizingatioa pesa tulizonazo hakuna haja ya kuongeza galama za majengo badala yake vilivyopo viwezeshe kivifaa na wataalamu mwisho matokeo ya utafiti yafanyiwe kazi kwa kua utafiti ni mtambuka hivyo tunatakiwa kiuviendeleza vyuo tulivyokua navyo na ukumbuke moja ya malengo ya uanzishaji vyuo ni utafiti
 
Lakini vimeshindwa sasa mkuu je DIT,COET wamebuni nini ambacho tumeuza toka kuundwa kwao
 
Back
Top Bottom