Lazima nitimize haki yangu ya msingi ya kupiga kura Oktoba, 2020

kichoroba89

Senior Member
Oct 3, 2019
197
57
Kutokana na Utekelezaji unaofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano Sina Budi kutamka kwamba, sitakubali kupoteza Kura yangu kwani, Kupiga Kura ni Haki ya kila Mtanzania ili tuweze kuchagua Viongozi Tunaowahitaji.

Katika Awamu hii ya Tano yapo Mambo Makubwa Yametekelezwa tayari na Mengine yapo katika hatua za Kukamilika,mambo hayo baadhi yake ni kama ifuatavyo: Shule Bure, Ujenzi wa Vituo vya Afya kila Kata, Ujenzi wa Barabara za Mitaa,Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR), Ufufuzi wa Treni kwenda Moshi, Ufufuzi wa Shirika la Ndege (ATCL), Ujenzi wa Barabara za Juu Ubungo ambazo zipo katika hatua za Mwisho kukamilika, Ujenzi wa Mwl. Julius Nyerere Hydropower utakaotoa Umeme wa 2115Mw n.k.............Miradi ipo mingi sana.

TUNATEKELEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO, HAPA KAZI TU,SITAFANYA MAKOSA OKTOBA,2020.
 
Oky
 
Back
Top Bottom