Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,293
- 83,707
Ukianza kunionyesha upendo na kutokunisaliti basi hakika na mimi nitakutii na kutokukudharau hata siku mojaUpendo bila utii utoke wapi? Naweza kukupenda kama mke wangu ila huna utii hakiamungu usione huo upendo unaohitaji.