Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
SOTE tuna wajibu wa moja kwa moja kushiriki katika ujenzi wa Taifa na kuijenga jamii yenye misingi imara na endelevu ya demokrasia ya kweli, haki, umoja, usawa, uhuru, na fursa ya kila mwana jamii kujiendeleza bila kujali tofauti zetu za kiitikadi, dini, jinsia, kabila, kanda, ama tofauti zingine zozote. #MunguIbarikiTanzania