Lazaro Nyalandu ni Mwanasiasa smart na yuko beyond vyama vya Siasa. Aendelee kusimamia anachokiamini

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
548
781
Wanabodi kwa muda sasa namfuatilia Mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Binafsi namuona kama Mwanasiasa ambaye anaamini katika Utu, Ubinadamu na haki na amesimamia anachokiamini popote alipo.

Nimemuona wakati wa Lissu kupigwa Risas na pia wakati wa kifo cha Hayati Magufuli, pia nimemfuatilia wakati akijinadi akiwa Mgombea wa Chadema ni Mwanasiasa Mtam sana kumpata Tanzania.

Kwakweli nadmire anavyosimama popote anapokuwa huwa speech zake zina ubinadamu sana na anaonekana ni mtu wa Mungu na namshauri asiache kupigania anachokiamini hadi Tanzania anayoitamani ipatikane.

Kwakweli hata mimi naipenda Tanzania anayoitamani Nyalandu.

Ushabiki, Harakati, Povu ruksa kabisa.
 
Yeye na mkewe mrembo namna ile wanaweza wapi miki mikiki ya kufatiliwa na wasiojulikana. Mpaka kutorokea kenya huko haha.

Nadhani baada ya kurudishiwa jezi usiku alilala usingizi mzuri sana. Pilika pilika za upinzanani waachieni wenyewe kina Lissu.
 
Kwani ana ndoto za kuwa nani baadaye, ni kama vile system ishamtapika, nani alishaenda nje ya ccm akarudi na kung'aa tena siasani?
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu!

Huyu mzee wa MIGA, mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Kazi alotumwa ishafikia mwisho angebaki chadema kufanya nini?

Plan A ilikuwa yeye awe mgombea urais wakati wa kurudisha fomu ajitoe hivyo chadema ipoteze nafasi ndo hivyo imefelii. Plan B imefanya yake.
 
Keshokutwa wanaCCM wakisherehekea Mbowe kupokonywa shamba lake na serikali huyo Nyalandu atahamia TLP tena?
 
Hili sikuipata mapema, kumbe!
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
 
Nadhani ni vigumu sana kumwamini Lazaro. Anachokionesha ni namna gani anapigania maslahi yake binafsi.

Alipohamia Chadema angeweza kukisaidia ili kuhakikisha kinashika dola, badala yake anakimbia kimbia tu huku na kule.

Kitu gani kilichobadirika ndani ya CCM mpaka arudi? ama ni kitu gani alichokikosa CHADEMA mpaka akimbie?

Suala la kuhamia chama flani eti kwa sababu tu mwenyekiti amekuwa flani bado naona hili linatia ukakasi kidogo.
 
Wanabodi kwa muda sasa namfuatilia Mwanasiasa Lazaro Nyalandu.

Binafsi namuona kama Mwanasiasa ambaye anaamini katika Utu, Ubinadamu na haki na amesimamia anachokiamini popote alipo.

Nimemuona wakati wa Lissu kupigwa Risas na pia wakati wa kifo cha Hayati Magufuli, pia nimemfuatilia wakati akijinadi akiwa Mgombea wa Chadema ni Mwanasiasa Mtam sana kumpata Tanzania.

Kwakweli nadmire anavyosimama popote anapokuwa huwa speech zake zina ubinadamu sana na anaonekana ni mtu wa Mungu na namshauri asiache kupigania anachokiamini hadi Tanzania anayoitamani ipatikane.

Kwakweli hata mimi naipenda Tanzania anayoitamani Nyalandu.

Ushabiki, Harakati, Povu ruksa kabisa.

Huyu karudi kwasababu Magu kafariki asingerudi. Kuondoka na Kurudi ni kwasababu ya Magu huo ndiyo ukweli
 
Back
Top Bottom