Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 549
- 781
Wanabodi kwa muda sasa namfuatilia Mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Binafsi namuona kama Mwanasiasa ambaye anaamini katika Utu, Ubinadamu na haki na amesimamia anachokiamini popote alipo.
Nimemuona wakati wa Lissu kupigwa Risas na pia wakati wa kifo cha Hayati Magufuli, pia nimemfuatilia wakati akijinadi akiwa Mgombea wa Chadema ni Mwanasiasa Mtam sana kumpata Tanzania.
Kwakweli nadmire anavyosimama popote anapokuwa huwa speech zake zina ubinadamu sana na anaonekana ni mtu wa Mungu na namshauri asiache kupigania anachokiamini hadi Tanzania anayoitamani ipatikane.
Kwakweli hata mimi naipenda Tanzania anayoitamani Nyalandu.
Ushabiki, Harakati, Povu ruksa kabisa.