Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

Huyu Nyalandu ni mtu wakaribu sana na Mama Anna Mkapa, huyu jamaa ndiye alikuwa anasimamia ile NGO ya mama Mkapa na amepata support kubwa sana kwenye uchaguzi wa mwaka jana toka kwa mama Mkapa...

I believe kuwa karibu na the Mkapas ndio kumesaidia ku-launch his career. Nilimfahamu Lazaro alipokua rais wa Ukwata Tanzania (nafikiri alikua anasoma A level Ilboru at that time). He is a very good speaker, analugha yakuvuta watu kumsikiliza, na alipenda sana kujitambulisha kwa watu wenye nafasi kubwa kubwa kila alipowaona. I think umachachari wake ulimfanya watu wavutiwe kumjua zaidi. Kwangu mimi ni aina ya wale watu wanaokuambia what you want to hear lakini hawafanyi anachosema (talk the talk but not walk the walk). He is an opportunist, he can go at any level ku-timiza azma yake. Lakini that was then ( more than 15 yrs ago) anaweza kuwa amebadilika sasa. Who knows.
 
Ndugu yangu tabia haina dawa.
 
Hapo kwenye bold nimecheka sana!!!! Laz alikuwa anabadilisha No kama hana akili nzuri... nafikiri ni kukwepa usumbufu maana si unajua tena waswaz kwa kuomba misaada!! Wakati akiwa Ilboru alikuwa mlokole haswa tena akikuubiria lazima na wewe uokoke tu.. Alikuwa akija Weru*2 tunafurahi sana kama mtu ulikuwa huma mpango wa kwenda reading room ambako walutheri tulikuwa tunatumia kusalia j/pili utaenda tu. Akiwa Ilborua alikuwa Rais wa ukwata na alipata vitrip kibao nje ya nchi akajitengenezea marafiki kibao esp Marekani...

Mi namjua kama mtu mzuri tu hana maproblem. Kusema ni fisadi mhh!! ukaribu na mama Anna Mkapa ni kweli.

Ha ha ha! Hapo kwenye red pamenichekesha. Ndio maana in one of the comments nimedokeza he is "a very good speaker, he can tell you what you want to hear" Mfano wakati yuko raisi wa Ukwata alikua na multiple girlfriends, (I happen to know three of them). Kila mmoja alikuwa anamuambia ameonyeshwa na roho mtakatifu they were meant to be together. Wadada aliokuwa anawadanganya walikuwa walokole, lakini walikua hawajuani. So wakati walikizo ndio wakati kila mtu anadai ni wife to be wa president wa Ukwata. I Know most guys do that lakini unapokua raisi wa Ukwata, unahubiri wokovu alafu unakuwa msanii mbele za Mungu! Its scary.
 
huyu bwana nilisoma naye o level pale kibaha sekondari japo madarasa tofauti. yeye alikuwa ni mpenzi sana wa kiingereza na alikuwa ni mwanafunzi mwenye juhudi. pia aliupenda sana uongozi tangia enzi hizo.

alijitahidi sana kuanzisha english club enzi hizo. hii ilianzisha mambo ya midahalo - debate. alikuwa mwenyekiti wa kwanza.

kimsingi hupenda sana uongozi. kila atapokuwepo hufanya uongozi. hata alivyokuwa bungeni alianzisha chama cha wabunge vijana akawa kiongozi.

nilikutana naye akiwa mbunge kwenye bunge la kwanza pale morogoro, mimi nikiwa ninafanya M.Sc. tulitakiana hali za miaka mingi iliyopita. akaniambia amemaliza masomo yake ya digrii (sikumbukio kama ni mcsc au bsc) marekani na akarudi kuchukua jimbo moja kwa moja. hata hivyo alikuwa na office yake private PSI building kama nakumbuka vyema kwa maelezo ya business card yake. alichoniudhi ni kitu kimoja tu. alinipa business card ambayo hakuna hata namba yake moja inapatikana. hili sikulielewa lakini nadhani nitapata jibu siku moja.

i think he might be well working with media.lets hope that all he is moving with will produce tangibles.

Haaahaaa! Mjini shule. Hakuwa na ile NGO ya mama Mkapa huyu bwana kweli?
 
Ni kiongozi wa serikali ambaye haruhusiwi kuingia US. Vyombo vya habari mna wajibu wa kuielimisha jamii, ni kwa nini kazuiwa kuingia US? ahhaha hahaha ana RB ya US. Vyombo vya habari, muulizeni kwa nini hatakiwi kukanyaga kwa Obama?

EEEh! Unashangaa ya Musa na kukutana na ya Filauni,lol
 
Indume Yene umegusia jambo,
Kama wasemavyo kule Majita "umenyele emisango." Huyu jamaa kwanza nasikia hakumaliza shule pale Waldorf College, Ohio. Kwa hiyo digrii yake ni ya kuchakachua. Pili anatafutwa Minnesota kwa kosa la ubakaji. Alimbaka mama wa Kizambia na kukimbilia Tanzania. Huyu ndiye waziri wetu na wengine wanasema eti siku moja atatinga Ikulu. Mungu apishie mbali.
 
Haaahaaa! Iko wapi due dilligence yetu??? Ipo siku tutaadhirika kwa mambo makubwa sana. Tutachagua drug dealer wakaturudi bila huruma
 
Aisee, kumbe haka kakijana ni hatari hivyo?? Sasa mbona mzee nkapa hakukapatia ulaji kwenye wizara yoyote ile? Au yeye ilikuwa na mama tu!!

Alipoanza u-close na Mkapas watu walisema ni usalama wa Taifa kwasababu alikua na fedha (bado anazo) na maisha mazuri sana ambayo source ya pesa hiyo ilikua haijulikani. Nina weza kusema kasi yake ya pesa/wealth aliyo-accumulate na vitu alivyofanya kwenye maisha ni sawa na Lowassa kipindi kile alivyomuacha Nyerere mdomo wazi. Tofauti tu ni kwamba: sasa hivi watu wenye pesa ni wengi sana you can not tell who is who. Nina wasiwasi anaweza andaliwa kwa 2015 kwasababu ya uwezo wake wakuzungumza, umachachari, na ana financial back up kubwa ambayo so far it is from unexplainable source.
 
Ukisoma kwa makini utaona mengi ya yaliyoandikwa ni majungu tu.Mwingine anasema Nyalandu ana mawasiliano ya moja kwa moja na ma senators wengi wa Marekani,mpaka wabunge wenzake wanamshangaaa,maana si kawaida.Na tena anaweza kwenda ubalozi wa Marekani muda wowote anaoutaka.Eti ni mtu wamarekani,anayetumikia maslahi ya Marekani.
Wakati wengine wanasema,Nyalandu ni wanted huko Marekani,na hawezi kutia mguu wake.Sasa which is which?Halafu unajiita msomi wa Masters wakati ni mpika mijungu tuu,no wonder mnapewa contacts famba
Tuache wivu wabongo,Tujitume
 
MBUNGE PEKEE WA CCM ALIYEFANYA KAMPENI KWA HELICOPTER......ukiachilia RAIS Kikwete ndani ya CCM....

Lakini nadhani ili kukata mzizi wa fitina atangaze mali zake ...ili watu wasimfikire tofauti........najiuliza kwanini viongozi wa umma 5,000 hawajataaja mali hadi sasa..hizo ndio zinazaa speculations...viongozi wa umma namaanisha mpaka wa CHADEMA........na CCM
 
Kwangu mimi namchukulia Lazaro Nyalandu kama ni kiongozi mzuri ukilinganisha na viongozi wengi waliopo katika serikali yetu.Kama binadamu wengine,Hon.Nyalandu hajakamilika ana mapungufu mengi,lakini bado ni mtu mwenye mapenzi na Nchi yake na kama akipata muongozo mzuri ni kiongozi mzuri...kwa sasa na siku za baadaye kwa maana ya kwamba ni msikilizaji,mbunifu na mpenda kujifunza mambo mapya.

Hon.Nyalandu hana Elimu ya shahada kama inavyojulikana na wengi,alisoma elimu ya sekondari O'Level Kibaha (Pwani) na baadaye kwenda Ilboru (Arusha) kwa elimu ya A'Level,baada ya kumaliza elimu ya sekondari alikwepa kwenda Jeshini (JKT) na kujikita katika mambo ya UKWATA ambako alifikia level ya kuwa mwenyekiti wa Ukwata Tanzania.Kipindi hicho Lazaro alijihusisha na Viongozi wengi na watu wengi mashuhuri wa mji wa Dar-es-salaam na kufanikiwa kupata contact ya kupeleka wanafunzi USA kwa njia za makanisa,wanafunzi hao wengi walikwenda kwenye majimbo ya Michigan,Minnesota na Iowa.Alikuwa mmoja kati ya watu wengi waliokuwa wanatafuta I-20 katika vyuo vya Marekani na kuziuza kwa Vijana wengi waliokuwa wanamaliza shule na kukosa nafasi za vyuo vikuu nyumbani.Katika kufanya zoezi hilo alifanikiwa kuwapatia watoto wengi wa Viongozi serikali I-20,kwani watoto wa wakulima (Walalahoi) hawakuweza kumudu kununua I-20 hizo.Kwa kufanya hivyo aliweza kupata contacts za Wazee wa watoto hao na kuangukia kumfahamu Mama Mkapa kwani baadhi ya ndugu wa Mama huyo walipata Vyuo USA kwa kupitia Lazaro.Kwa mtu yeyote mwenye umri mkubwa na anayejali maadili ya Kitanzania akikutana na Lazaro atampenda.Ni mnyenyekevu,msikivu na mwenye haiba ya kuvutia.

Hon.Nyalandu baada ya kushughulika na I-20 kwa muda mrefu nae alikwenda Marekani kwa ajili ya masomo ya shahada yake,kama walivyo Watanzania aliowapatia I-20,Nyalandu alikwenda katika Jimbo la Iowa mji uitwao Forest City na alisoma Chuo kiitwacho Waldorf,Chuo hicho kilisoma Watanzania wengi na wengi waliendeleza kujishughulisha na maswala ya dini na masomo,hali hiyo iliwavutia walimu na watu wengi waliosoma katika chuo hicho.Hon.Nyalandu kwa kutumia uwezo wake,na uwezo wa kuleta wanafunzi wengi katika chuo hicho,alimuunganisha Mama Mkapa na Utawala wa Chuo na Mama huyo kupatiwa Shahada ya Heshima katika Chuo hicho.Hon.Nyalandu aliendelea kuunganisha watu wa Iowa na Asasi binafsi mbalimbali za maendeleo Tanzania na haswa Singida.Kwa kutumia Dini na kujulikana Nyalandu aliweza kushiriki katika NGO inayoitwa Books of Africa ambayo ilikuwa inakusanya vitabu mbalimbali vilivyotumika katika majimbo ya Iowa na Minnesota na kuvipeleka Afrika (Tanzania) haswa Kilimanjaro na Singida.Mama Mkapa,Nyalandu na baadhi ya ndugu wa Mama Mkapa kwa vipindi tofauti wamewahi kuwa Board Members katika Books of Africa.

Mheshimiwa Nyalandu hakumaliza shule yake huko Waldorf na inasemekana pia alikuwa na kesi ya kumbaka mwanafunzi wa Kike wa Zimbabwe alipokuwa anasoma huko,lakini si kweli kwamba amezuiwa kuingia Marekani,alikuja Marekani mara ya mwisho 2009 kuhudhuria harusi ya ndugu yake ambaye anaishi Minneapolis,Minnesota.

Si kweli kwamba Hon.Nyalandu amewekwa na watu wa Marekani ktk Uongozi wa juu katika Tanzania,Nyalandu amefanikiwa kupata Ubunge kwa juhudi binafsi za Mama Mkapa ambaye amefanya nae kazi kama katibu wake na anamchukulia kama mtoto wake,pia ameishi kwa karibu na watoto wa Mama Mkapa na ndugu zake ambao walisoma Minneapolis huko Minnesota.Kwa kupitia NGO's na Waldorf College Hon.Nyalandu anafahamiana na Senators Chuck Grassley kutoka Iowa na Norm Coleman kutoka Minnesota,Rais na Mwalimu wa Chuo kikuu cha St.Thomas Minnesota Father Dennis Dease pia ni mtu wa karibu na Hon.Nyalandu,ikumbukwe kuwa Rais Kikwete 2009 alikwenda St.Thomas kutunukiwa shahada juhudi hizo na nyingine zinatokana na watu kama Nyalandu.Kwa maana hiyo si taabu kwa Mh.Nyalandu kupata viza au kwenda Ubalozi wa Marekani Tanzania kwa ajili ya kupata information mbalimbali kutoka USA.

Umaarufu wa Nyalandu unaongezwa na kumuoa Faraja Kota (Former Miss Tanzania).Mzazi wa Faraja (Baba) ambaye ni marehemu amewahi kuwa mtumishi aliyetukuka katika Jeshi la wananchi wa Tanzania (Brigedia Jenerali mstaafu William Kota).Wazazi wote wawili wa Faraja ni marehemu.

Nyalandu alikuwa mmoja kati ya Wabunge wachache waliokataa kwa nguvu zote kuujadili mjadala wa mahakama ya Kadhi Bungeni,pia mwaka jana alisimamia kidete kutokuiruhusu serikali kuiruhusu Zanzibar kuingia ktk Jumuiya ya Nchi za kiislamu (OIC).Pamoja na mambo mengine ya udhaifu wa kibinadamu wa kupenda sifa na kupenda mabinti,bado Lazaro namchukulia kuwa ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wengi katika Cabinet tuliyonayo.Tumjadili kwa utendaji kazi wake,na punde akivuruga tuseme madhambi yake kama ilivyokuwa kwa Masha.
 
Nafahamiana nae kwa karibu.

1. Amesoma Ilboru
2. Akaenda Marekani
3. Akaonana na Anna Mkapa akiwa Marekani
4. Akaula kwenye Mfuko wa Fursa sawa kwa wote
5. Akaitumia mfuko kuupata ubunge
6. Anapenda watoto wa kike sana :msela:
7. Mpenda sifa
8. Mlokole bandia (baba yake Samwel Nyalandu ndie mlokole)

Jamaa kapata Unaibu kwa sababu ya mgawanyo wa maeneno na wala si uwezo wake. Anachokifanya ni kuuza sura tu hana lolote huyu.
 
asante mkuu kwa maelezo mazuri kuhusu Nyalandu,ambayo yako balanced,ambayo ukiyasoma hayaonyeshi umbea,majungu wala wivu.Inaelekea unamjua vizuri Nyalandu,uko karibu nae au uko karibu na watu wa karibu wa Nyalandu.
Mijadala hapa JF ndivyo inavyotakiwa kujadiliwa hivi.Siyo kuandika tuu,kama magazeti ya Shigongo!
 
Hivi wale wachina nimewaona leo kariakoo ni nani aliyesema waondolewe ..... Nyalandu

au alivyotoa tamko hilo kuna waziri mwingine mwenye dhamana ya kutekeleza???? Maana hii serikali ila mtu ni rais and waziri, katibu mkuu nk..

Kwa kifupi anafanya kazi ila bado sijaona lamaana sana.....
 
...MIMI napenda mtu anayeongea kwa vitendo zaidi kwa hili ninayempa maksi ni mama Tibaijuka..alisema anaenda kuvunja ukuta na kweli baada ya siku mbili akaenda kuvunja.......

Pomber magufuli[president wetu 2015] anajitahidi....

Naibu wake bado ....nadhani anatatizwa na uhakika wake kwenye chama...

Omar Nundu anajitahidi...

Nahodha yuko busy kuhakikisha analamba mgao wa vitambulisho vya kitaifa ili kufidia mfuko wake uliotobolewa na kugombea urais....

Mwandosya bado ..anaota urais ...lakini ni bahati mbaya kuwa hatakuwa rais wa nchi hii...kidogo charisma yake ipo chini.....

Member JOKA LA MDIMU ...muuza sura na mfitini mwingine...hakuna kitu baada ya 2015 aatakuwa a looser back bancher...
 
Huyu bwana hana lolote, hata kipindi cha Bunge huwa anakuwa hapa Arusha akivinjari na vimwana tena wanafunzi wa vyuo na secondari. Binafsi nashangaa kusikia kuwa alikuwa mlokole lakini ni mfuska ile mbaya. Ukitaka ulizia mahoteli makubwa hapa Arusha na alikuwa anabadilisha wasichana kwa siku si chini ya wanne. Hata majuzi alikuwa huku na siku hizi huchukua chumba kwa jina la mtu mwingine akiwa na mwanamke ili kuficha ukweli.
Nikiachana na ufuska ambayo ni tabia mama ya wanasiasa wa Tanzania,
amekuwa board member wa Tanapa tangia 2005 na hata kabla ya uchaguzi alikuwa board member wa AICC na Tanapa kwa wakati mmoja. Ana kampuni inaitwa NITOKE safaris ambayo inafanya Tour na kuchapisha majarida ya kutangaza biashara ya utalii, ana kampuni ya Kuchimba visima vya maji na pia ana ubia na NGO fulani ya wamarekani ambayo infadhili miradi lukuki jimboni kwake na hata mimi binafsi nili daka mawasiliano yake na hao wamarekani wakati fulani kabla ya uchaguzi wa 2005 kuwa JK alimwahidi uwaziri pindi atakapo pata urais na kuwaeleza wale wamarekani kuwa hilo likifanikiwa mambo yao yatakuwa mazuri ila sijajua ni mambo gani yalizungmzwa.
Ni kweli ana pesa chafu na hata tabia zake haziridhishi na upuuzi mwingi hufanyia Ars ili watu wa jimboni kwake wasijue.
Ni mtu anapenda sifa kuliko kitu chochote, na ukitaka kitu msifie kama vile ndiyo yeye. Hapo utapata unachotaka na kuhusu uchapa kazi ni Usanii mtupu. Hii tabia ya kupenda sifa ndiyo inayo pelekea kuonekana mara kwa mara kwenye vyombo vya habari na ukizingatia waandshi wetu walivyo na njaa lazima wanatumia hiyo kama loophole kupata chochote.
 
Hivi wale wachina nimewaona leo kariakoo ni nani aliyesema waondolewe ..... Nyalandu

au alivyotoa tamko hilo kuna waziri mwingine mwenye dhamana ya kutekeleza???? Maana hii serikali ila mtu ni rais and waziri, katibu mkuu nk..

Kwa kifupi anafanya kazi ila bado sijaona lamaana sana.....

mtu unayejuwa system inavyoo operate huwezi kugombana na wachina...kabila ya kushauriana na system.......Nyalandu alitoa kauli ile kweli tena akiwa anakaimu uwaziri nadhani bosi wake alikuwa nje ...lakini guess what the next day he went running TBC kwenda kusema hakusema wachina ....as it would have amounted to the diplomatic row that Tanzanian are targeting chinese....
Chinese we need to approach them in win win wako powerful..na ni waelewa hawapendi kudhallilishwa ....kama wanaweza kutejengea uwanja na misaada unlimited ya kijeshi .....the best approach kwa wizara ya biashara ilikuwa kwao kupeleka cabinet paper ili kumuomba rais amueleze rais mwenzake kero wanazoleta raia wake kwa kuchukua ajira za watanzania wa kawaida...kwa misaada wanayotoa na urafiki ......china haingeshindwa kuwaagiza raia wake wanaokuja hapa kuwekeza kwenye vitu serious zaidi.....naamini bado nafasi tunayo...
wenzetu Kenya wamefanikiwa kuwawekea mipaka ......mfano hakuna ubaya kwa raia wa china kuwekeza kwenye viwanda hapa badaya ya kutufanya wachuuzi wa bidhaa zinazotoka kwao....they can invest in secondary process...na tukawaomba wasiingie kwenye retailing .....tunaweza kuvumilia wao waishie kwenye distribution ...lakini wholesale na retailing kule kariakooo washike wazawa.....

Back
Top Bottom