Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

Huyu jamaa file lake lipo....Nyalandu..

He is not that bad buddy...ila malengo yake ya mbeleni na watu walio nyuma yake wanaitia shaka.....

Kila kitu anachofanya anatumia pesa zake binafsi kuhakikisha kinapata media coverage kwenye magazeti yote ...tv na REDIO tena in altenate days...yaani unakuta event moja picha zinatoka kuanzia jumatatu hadi jumatatu....he makes sure everyday he makes a news.....nadhani huyu angefaa kupangiwa wizara inayohusika na maisha ya kila siku ya watu kama ...mambo ya ndani au pale kwa Nchimbi..pangemfaa maana hangehitaji PR consultant kuhakikisha kuwa ana make headlines......

Lakini lazima mjuwe kuwa kila waziri ana afisa habari wake na kila mmoja anajitahidi kujitangaza kisiasa.....ila huyu na wenzake wachache tofauti na wengine anatumia hadi waandishi binaafsi kufanya coverage kwenye event zake.....
 
anaweza kugombea urais kwa tikiti ya ccm.

au haujui kama singida ni karibu na igunga?
 
Hiki kijamaa cha home ni kisanii na kifisadi ile mbaya. Kilimfanya kitu mbaya mtoto wa marehemu mzee Monko( mbunge wa zamani wa singida vijijini) alipoingia kwenye kinyan g'nyiro cha kura za maoni 2010. Nyalandu aliwahonga poilisi pale mkoani wamsumbue mshindani wake Eng. Joseph Monko. Polisi walimfanya kitu mbaya kwa maelekezo ya Nyalandu mpaka jamaa kaamua kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni CCM.
Kwa sasa atakuwa ameshahonga baadhi ya waandishi ili apate coverage, hana lolote ni utapeli tu. Alikuwa akijifanya mlokole huku akiwachanganya mabinti ile mbaya, fisadi kweli kweli huyu. ki kwetu tunasema " "isii mbwa a muntu"

:coffee:
 
Mi namshauri tu atumie basi hata pesa zake hizo za kifisadi kuinua jimbo lake hata mkoa wake kwa ujumla maana singida jamani inatia aibu mkoa gani hauna hata kahoteli ka gorofa moja! watu wamechokaaaaa !
yaani hakuna kitu kitakufanya utamani kukaa singida hata kwa siku mbili labda kuku tu za kienyeji. So far sijaona ubaya wa nyalandu cause waliambiwa wajitahidi kazi zao wananchi wazijue kila siku.
 
Hiki kijamaa cha home ni kisanii na kifisadi ile mbaya. Kilimfanya kitu mbaya mtoto wa marehemu mzee Monko( mbunge wa zamani wa singida vijijini) alipoingia kwenye kinyan g'nyiro cha kura za maoni 2010. Nyalandu aliwahonga poilisi pale mkoani wamsumbue mshindani wake Eng. Joseph Monko. Polisi walimfanya kitu mbaya kwa maelekezo ya Nyalandu mpaka jamaa kaamua kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni CCM.
Kwa sasa atakuwa ameshahonga baadhi ya waandishi ili apate coverage, hana lolote ni utapeli tu. Alikuwa akijifanya mlokole huku akiwachanganya mabinti ile mbaya, fisadi kweli kweli huyu. ki kwetu tunasema " "isii mbwa a muntu"

Jamaa anapenda sana mademu hata kibaha enzi hizo kwa mwamvuli wa Ulokole aliwamega sana evening classes walikuwa wanasoma Kibaha secondary na wadada wa day.
 
Huyu jamaa ni bingwa wa mademu Alikuwa na tuhuma za kubaka alipokuwa Iowa, USA. And yes he is a big time attention seeker.
 
Mimi nimemfahamu pia kwa karibu kama class mate pale Kibaha Sec. 1986 hadi 1990. alipenda sana kujishughulisha na masuala ya UKWATA na mimi nilikuwa member wakati huo akiwa katibu. 1993 Juni nilikutana naye Dodoma nikiwa nimeripoti Jeshini na najua alitakiwa kuwa Jeshini lakini hakwenda na alikuwa kwenye mizunguko ya kidini nchi mbalimbali.

Mwaka jana 2010 nilionanan naye tena Arusha na tukaongea kiasi hapa likuwa siyo Waziri bado na ninajua ana nyumba kadhaa hapa Arusha na akiwa hapa hupendelea kutumia private car mara escudo ya rangi ya light blue na Nissani patrol- chura

Tabia yake:

Kwa ufupi anapenda show off na siyo mtu firm sana kwenye maamuzi kwani ni very social na ana vitabia vya u-celebrity. Ninavyo mfahamu labda abadilike baada ya kupata uwaziri ila kwa vyovyote hawezi kuwa tegemeo la watanzania hana huo ubavu. Najua pia hawezi kuwa comfront akina mama kwani yeye ni very weak kwa ladies.

Uongozi :

Alipokuwa katibu mkuu wa fursa Sawa kwa Wote(EOTF) ya mama mkapa aliingia kwa gia ya mdogo wake mama mkapa msichana na alikuwa rafiki yake. Na pia alimsaidia mama mkapa kufanya fundraising wakati huo Nyalandu akiwa USA na aliporudi akapewa zawadi ya kuwa Katibu wa mama Mkapa.
Baada ya kuwa anawawekea kauzibe viongozi waliokuwa wanachota fedha EOTF wakaona wamwondoe kiaina na kum support kugombea ubunge Singida na akashinda. Lazima mjue kwamba alipata ubunge mara ya kwanza kwa support kubwa ya mama Anna Mkapa ili awaache huru na EOTF yao.

Ukitaka namba ya simu ya nyalandu nitumie email binafsi nitatakupa ila siwezi kukupa hapa JF

Swali jingine?
 
Umemdescribe nyalandu kiuhalali na kunifurahisha hasa uliposema anapenda ulimbwende kwa maneno ya mitaani mimi naweza kumwita bishololo na anajisikia sana. Ni kijana muhuni na hafai kuwa kiongozi. lakini kwa serikali ya kisanii kama ya kinara wao jk ameonekana anafaa.
 
Kila anayemjua aendelee kumwaga tabia zake zote hapa, mwisho litakuwa jukumu letu kufanya maamuzi kama anafaa au ndio tumekwishauziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Kila anayemjua aendelee kumwaga tabia zake zote hapa, mwisho litakuwa jukumu letu kufanya maamuzi kama anafaa au ndio tumekwishauziwa mbuzi kwenye gunia.

The guy does not fit for that post. Don't waste time looking for more information about him. His behaviour is exactly same as his top boss and I wonder why it has taken him so long to be appointed. We can not have a leader whom every beautiful lady passing across him turns to be a matter of concentration. Shit!!
 
Nakubaliana na wewe kaka.

Nimesoma nae darasa moja O-level Kibaha Secondary. Ni mtu ambaye anajificha nyuma ya ya kivuli cha dini na wala si mtu wa kumwamini. Nakumbuka alipoanza Form One alikuwa anatumia jina Hamisi ambalo alilibadilisha baadae na kuwa Lazaro. Ni kweli alikuwa anapenda sana kuzungumaza Kiingereza. Ayatendayo kwenye mwanga si anayoyatenda kwenye giza. The is guy is just fooling us. I have never trusted him na si mchapakazi kama inavyofikiriwa.
 
He is not that bad buddy...ila malengo yake ya mbeleni na watu walio nyuma yake wanaitia shaka.....

Hilo tayari ni tatizo makundi ya watu wenye tamaa ya nini katika ungozi? atalipaje hizo fadhila kama si kutuingiza katika matatizo kama ya dowans
 
Lazaro Nyalandu ambaye awali alikuwa anajulikana kwa jina Hamisi..... Nimesoma nae Kibaha o- Level. Haaminiki na wala si mtu wa kumpa dhamana ya kuwaongoza watanzania. Ni bishololo na kimsingi anachokifanya sasa ni kutaka kupata attention for persona gain. Sijui kama kuna maana ya kufanya vetting katika nchi hii.
 
kweli hapa ni kiboko. mchana huu nimeongea na ex-parliamentary mmoja aliyekuwa na nyalandu bungeni. ni mtu mzima wa kuaminiwa. kitendo cha kumuuliza lie swali alishtuka na kunipa jibu lifuatalo...

"Nyalandu ni mtu aliyepikwa kwa interest za wa – magharibi na si watanzania per se! Nyalandu ana uwezo wa kuingia katika corridor zote za ubalozi wa marekani kitu ambacho si cha kawaida kwa watu wengi. Ana mawasiliano ya moja kwa moja na MASENATOR wengi wa marekani kitu ambacho si rahisi kabisa kwa watu wengi…… anaweza kuingia ubalozi wa marekani SAA YOYOTE na kutoka na GRANT YA SIZE YOYOTE bora tu aseme!! Namna yake hii imekuwa hata ikiwashangaza parliamentarians wenzake! Mzee huyu, akimfananisha Nyalandu na Gorbachov amessugeest kuwa Nyalandu ni mpango wa muda mrefu wa Marekani kuikamata Tanzania. Aliongezea kwa kusema no wonder appointment ya Nyalandu ni proposal toka Marekani kwa kikwete kupitia Balozi Alphonso ambaye ameonekana kumpa komfo la nguvu kikwete though anajua kuwa ni mbakaji wa demokrasia! Kwa trend ilivyo na bila umma kupaza sauti yake, Lazaro ataingia ikulu na ndio mhuri wa inchi kuuzwa utapigwa rasmi!

Thanks kwa uliyeianzisha hii thread – you have served the nation!
 
Ni kiongozi wa serikali ambaye haruhusiwi kuingia US. Vyombo vya habari mna wajibu wa kuielimisha jamii, ni kwa nini kazuiwa kuingia US? ahhaha hahaha ana RB ya US. Vyombo vya habari, muulizeni kwa nini hatakiwi kukanyaga kwa Obama?
 
Mama Mkapa alikuwa anampa all resources kama gari, simu na fedha kabla hajawa mbunge. Siku moja alipiga simu US kwa kutumia cell phone ya ikulu. Aliongea muda mrefu sana, hivyo akawa na wasiwasi kuwa huenda atakuwa kamaliza pesa iliyokuwemo. Akawapigia Mobitel kabla haijawa TIGO kuuliza salio la pesa. Mobitel wakam-hold, wakapiga simu ikulu kuuliza kama kuna simu imeibwa. Mama Mkapa aliwaambia Mobitel kuwa ni kijana wake. Baadaye Mobitel wakamwambia Nyarandu siku nyingine hasiulize salio la pesa. Kwa hiyo jamaa akaendelea kutwanga simu za overseas huku sisi wanyonge tukilipa hizo bills.

Alikuwa anapewa gari la ikulu ana-drive kwenda kwao Singida, gues who payed that tab!! you and I did. Ananuka UFISADI.
 
INDUME YENE RESPONDED

sasa nimeelewa, atakuwa aliwapiga? - maana maelezo yale niliyoyatowa kwa parliamentarian aliyekuwa naye bungeni session yake ya kwanza..anaweza kuwa kama January makamba?
 
Mama Mkapa alikuwa anampa all resources kama gari, simu na fedha kabla hajawa mbunge. Siku moja alipiga simu US kwa kutumia cell phone ya ikulu. Aliongea muda mrefu sana, hivyo akawa na wasiwasi kuwa huenda atakuwa kamaliza pesa iliyokuwemo. Akawapigia Mobitel kabla haijawa TIGO kuuliza salio la pesa. Mobitel wakam-hold, wakapiga simu ikulu kuuliza kama kuna simu imeibwa. Mama Mkapa aliwaambia Mobitel kuwa ni kijana wake. Baadaye Mobitel wakamwambia Nyarandu siku nyingine hasiulize salio la pesa. Kwa hiyo jamaa akaendelea kutwanga simu za overseas huku sisi wanyonge tukilipa hizo bills.

Alikuwa anapewa gari la ikulu ana-drive kwenda kwao Singida, gues who payed that tab!! you and I did. Ananuka UFISADI.

Aisee, kumbe haka kakijana ni hatari hivyo?? Sasa mbona mzee nkapa hakukapatia ulaji kwenye wizara yoyote ile? Au yeye ilikuwa na mama tu!!
 
Back
Top Bottom