Lazaro Nyalandu: Nawashukuru sana WOTE walioguswa na MKASA ulionisibu katika saa ya kujaribiwa kwangu mnamo tarehe 27 Mei 2019

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Nawashukuru sana WOTE walioguswa na MKASA ulionisibu katika saa ya kujaribiwa kwangu mnamo majira ya 8:30 mchana Jumatatu, tarehe 27 Mei 2019.

Tuliwasili kijijini Itaja, Wilayani Singida kuongea na viongizi wa vijiji na vitongoji Kata ya Itaja kuhusu zoezi linaloendelea nchi nzima la chama chetu CHAala kuwatambua na kuwaandikisha wanachama wetu. Jumla ya washiriki walioorodheshwa katika daftari la mahudhurio siku hiyo walikua watu 29.

Kama ilivyoripotiwa, kikao chetu cha NDANI, kilivamiwa na watu ambao hatukuwafahamu, wakiwa na silaha na kuamrisha mimi, pamoja wenzangu wawili (David Jumbe na Mwenyekiti wa CHADEMa Kata ya Itaja, ndugu Peter) tuondoke nao.

SOTE tulipatwa na mshtuko mkubwa, na hatukupewa utambulisho wala sababu ya kutolewa kwenye kikao na kuchukuliwa na watu wenye silaha mithili ya wahalifu na kutiwa nguvuni, huku wote tuliokuwa nao wakiwa wamepigwa bumbuwazi la sintofahamu.

Watu waliotuchukua walikuwa watano na walikuwa wamejaa katika gari moja aina ya Rav 4 nyeupe, na waliamrisha gari langu aina ya Ford Ranger litumike na wao wakiwa wametufuata kwa nyuma hadi nje ya Benki ya NBC Singida, ambako waliagiza tuingie ofisi ya Takukuru Mkoa wa Singida.

Walimchukua kila moja wetu katika chumba tofauti na kutuhoji juu ya UHALALI wa Kikao hicho cha CHADEMA, na kudai kuwa kulikuwa na HARUFU ya rushwa. Baada ya mahojiano, walitupeleka katika kituo kikuu cha Polisi Singida, na muda mfupi baadae tukasikia taarifa ya Takukuru Singida kuwa wao wamejiridhisha hapakuwa na tatizo na wametukabidhi mamlaka ya Polisi.

Polisi walitufanyia mahojiano mengine, kila mmoja wetu katika chumba tofauti, na kutujulisha kuwa wao hawakuwa na neno lolote juu yetu, ispokuwa tukifanya kikao chochote watataka tutoe taarifa kwa OCD Singida, na wakasema tupatiwe dhamana ili turudi kesho yake, Jumanne, na kuripoti polisi na Takukuru, (endapo wao Takukuru watakuwa na neno). Tulipopewa dhamana usiku huo, ilikuja AMRI kwamba dhamana hiyo ifutwe, na tukalazwa katika rumande ya Central Police Singida hadi kesho yake.

Siku ya Jumanne, tarehe 28 Mei 2019, tulipatiwa dhamana (mimi kwa wadhamini watatu kwa Sh milioni 5 kila mmoja, na Afisa wa Polisi OCD akaruhusu dhamana hiyo kuwa ya maneno, au ahadi endapo watuhumiwa hawataonekana kuripoti kama ilivyo amri)

Siku ya Jumatano, tarehe 29 Mei 2019, tulirudi kuripoti Polisi kama ilivyo amriwa katika hati ya dhamana, majira ya saa 2 asubuhi, na Mkuu wa Polisi OCD Singida akaamuru tuendee kudhaminiwa kwa dhamana ile ile hadi Ijumaa, tarehe 31 Mei 2019, saa 2.00 asubuhi.

Tukiwa tunajiandaa kutoka, Maafisa kutoka Takukuru waliwasili Makao Makuu Polisi kwa OCD Singida na kuamrisha tupelekwe Ofisi ya Takukuru Mkoa wa Singida kwa maelekezo mapya, ambako tuliamriwa kupata tena upya wadhamini moja moja kwa kwa bond ya sh milioni tano kila mmoja wetu, na kuamriwa kuripoti Tarehe 19 June 2019.

UONEVU huu ni dhambi mbele za Mungu, na wanadamu. CHADEMA na Vyama vingine vyote vya Upinzani wamewekwa katika hali ya mashaka na mateso, na tunatishiwa usalama wetu, na kuwekewa mipango LUKUKI ya kututungia na KUTUBAMBIKIZIA kesi. Hakika, HAKI huinua TAIFA, na WOTE wenye MAMLAKA, waone fahari kutenda MEMA. Kwa nilichokipitia siku hizi chache, nawasihi sana CHADEMA, na UPINZANI kwa ujumla wake, SIKU tutakapo shinda na kushika DOLA, tusiwafanyie wana CCM au watu wengine mateso kama haya, kwakuwa, yatupasa tuushinde UBAYA kwa WEMA.

Lazaro Nyalandu
Mwanachama, CHADEMA

FB_IMG_1559206125893.jpg
 
View attachment 1111981
Hii kitu inaleta chuki sana kwa watu.......upinzani sio uadui.....tunakoelekea tutashindwa hata kuzikana kwa sababu ya siasa hizi za uonevu.....
 
watu wasingepiga kelele mpaka jamaa wakajitambulisha kuwa ni takokuru, wanaccm wangekuja kusema kuwa mmejiteka wenyewe
Kwani nani aliyeanzisha nyarandu kachukuliwa na watu wasiojulikana?tatizo wanaanzisha wenyewe na ndio maana majibu yanawarudia wenyewe upo hapo.
 
Hii kitu inaleta chuki sana kwa watu.......upinzani sio uadui.....tunakoelekea tutashindwa hata kuzikana kwa sababu ya siasa hizi za uonevu.....
Kwani hapo kuna kitu kaonewa,acheni kutetea ujinga kabisa kwani kazi ya polisi na takukuru siinajulika sasa hapo uonevu uko wapi kama mtu wameona kuna mashaka hapo.viongozi wangapi hata waccm wanakamatwa kwa rushwa bwana Nyarandu ndio nani hadi asichukuliwe kuhojiwa kwani alichukuliwa kinguvu.
 
Nawashukuru sana WOTE walioguswa na MKASA ulionisibu katika saa ya kujaribiwa kwangu mnamo majira ya 8:30 mchana Jumatatu, tarehe 27 Mei 2019.

Tuliwasili kijijini Itaja, Wilayani Singida kuongea na viongizi wa vijiji na vitongoji Kata ya Itaja kuhusu zoezi linaloendelea nchi nzima la chama chetu CHAala kuwatambua na kuwaandikisha wanachama wetu. Jumla ya washiriki walioorodheshwa katika daftari la mahudhurio siku hiyo walikua watu 29.

Kama ilivyoripotiwa, kikao chetu cha NDANI, kilivamiwa na watu ambao hatukuwafahamu, wakiwa na silaha na kuamrisha mimi, pamoja wenzangu wawili (David Jumbe na Mwenyekiti wa CHADEMa Kata ya Itaja, ndugu Peter) tuondoke nao.

SOTE tulipatwa na mshtuko mkubwa, na hatukupewa utambulisho wala sababu ya kutolewa kwenye kikao na kuchukuliwa na watu wenye silaha mithili ya wahalifu na kutiwa nguvuni, huku wote tuliokuwa nao wakiwa wamepigwa bumbuwazi la sintofahamu.

Watu waliotuchukua walikuwa watano na walikuwa wamejaa katika gari moja aina ya Rav 4 nyeupe, na waliamrisha gari langu aina ya Ford Ranger litumike na wao wakiwa wametufuata kwa nyuma hadi nje ya Benki ya NBC Singida, ambako waliagiza tuingie ofisi ya Takukuru Mkoa wa Singida.

Walimchukua kila moja wetu katika chumba tofauti na kutuhoji juu ya UHALALI wa Kikao hicho cha CHADEMA, na kudai kuwa kulikuwa na HARUFU ya rushwa. Baada ya mahojiano, walitupeleka katika kituo kikuu cha Polisi Singida, na muda mfupi baadae tukasikia taarifa ya Takukuru Singida kuwa wao wamejiridhisha hapakuwa na tatizo na wametukabidhi mamlaka ya Polisi.

Polisi walitufanyia mahojiano mengine, kila mmoja wetu katika chumba tofauti, na kutujulisha kuwa wao hawakuwa na neno lolote juu yetu, ispokuwa tukifanya kikao chochote watataka tutoe taarifa kwa OCD Singida, na wakasema tupatiwe dhamana ili turudi kesho yake, Jumanne, na kuripoti polisi na Takukuru, (endapo wao Takukuru watakuwa na neno). Tulipopewa dhamana usiku huo, ilikuja AMRI kwamba dhamana hiyo ifutwe, na tukalazwa katika rumande ya Central Police Singida hadi kesho yake.

Siku ya Jumanne, tarehe 28 Mei 2019, tulipatiwa dhamana (mimi kwa wadhamini watatu kwa Sh milioni 5 kila mmoja, na Afisa wa Polisi OCD akaruhusu dhamana hiyo kuwa ya maneno, au ahadi endapo watuhumiwa hawataonekana kuripoti kama ilivyo amri)

Siku ya Jumatano, tarehe 29 Mei 2019, tulirudi kuripoti Polisi kama ilivyo amriwa katika hati ya dhamana, majira ya saa 2 asubuhi, na Mkuu wa Polisi OCD Singida akaamuru tuendee kudhaminiwa kwa dhamana ile ile hadi Ijumaa, tarehe 31 Mei 2019, saa 2.00 asubuhi.

Tukiwa tunajiandaa kutoka, Maafisa kutoka Takukuru waliwasili Makao Makuu Polisi kwa OCD Singida na kuamrisha tupelekwe Ofisi ya Takukuru Mkoa wa Singida kwa maelekezo mapya, ambako tuliamriwa kupata tena upya wadhamini moja moja kwa kwa bond ya sh milioni tano kila mmoja wetu, na kuamriwa kuripoti Tarehe 19 June 2019.

UONEVU huu ni dhambi mbele za Mungu, na wanadamu. CHADEMA na Vyama vingine vyote vya Upinzani wamewekwa katika hali ya mashaka na mateso, na tunatishiwa usalama wetu, na kuwekewa mipango LUKUKI ya kututungia na KUTUBAMBIKIZIA kesi. Hakika, HAKI huinua TAIFA, na WOTE wenye MAMLAKA, waone fahari kutenda MEMA. Kwa nilichokipitia siku hizi chache, nawasihi sana CHADEMA, na UPINZANI kwa ujumla wake, SIKU tutakapo shinda na kushika DOLA, tusiwafanyie wana CCM au watu wengine mateso kama haya, kwakuwa, yatupasa tuushinde UBAYA kwa WEMA.

Lazaro Nyalandu
Mwanachama, CHADEMA

View attachment 1111981
Mpokea au mtoa rushwa hawakuchaguliwa kwa watu fulani hata viongozi mbalimbali wakiwemo hata wa dini kama itaonekana anaashiria kutoa rushwa atakamatwa tu,hapo hakuna uonevu kama kweli ulitaka kufanya hivyo ni heri ukaachana na upumbavu huo kwani unatuonesha hata chama chako kikiwa madarakani taasisi ya takukuru mtaifuta ili mtoa rushwa kwa uhuru hayo ni angalizo langu.
 
Hizi siasa soft soft hazitaitikisa popote ccm..

Siyo siri nam-miss sana Dr Slaa kwa mambo kama haya mzee alikuwa react mpaka chumba cha magogoni kishindo chake kinasikika, Watu wanakufanyieni kila aina ya ushetani alafu kidume uliyejaaliwahasira zote eti unasema tulipe wema kwa uovu.... shubamit... msijidai nyinyi Yesu bhanaa

Fanyeni siasa ambazo hata wao watajiuliza mara mbili kabla ya kuwafanyia madhambi yoyote... nyie vp bhanaa...!!!???

BACK TANGANYIKA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kutisha wewe,ivi unadhania mtu akikalia kiti kile atakuwa kama unavyompenda sasa?Mm ujinga huo huwa siutakagi kabisa kila mtu anaangalia tumbo lake.
Sentensi fupi sana inawatishaje?huo ndio ukweli wenyewe
 
Kwani hapo kuna kitu kaonewa,acheni kutetea ujinga kabisa kwani kazi ya polisi na takukuru siinajulika sasa hapo uonevu uko wapi kama mtu wameona kuna mashaka hapo.viongozi wangapi hata waccm wanakamatwa kwa rushwa bwana Nyarandu ndio nani hadi asichukuliwe kuhojiwa kwani alichukuliwa kinguvu.
Sheria ya kumkamata mtu unaijua?
 
Hizi siasa soft soft hazitaitikisa popote ccm..

Siyo siri nam-miss sana Dr Slaa kwa mambo kama haya mzee alikuwa react mpaka chumba cha magogoni kishindo chake kinasikika, Watu wanakufanyieni kila aina ya ushetani alafu kidume uliyejaaliwahasira zote eti unasema tulipe wema kwa uovu.... shubamit... msijidai nyinyi Yesu bhanaa

Fanyeni siasa ambazo hata wao watajiuliza mara mbili kabla ya kuwafanyia madhambi yoyote... nyie vp bhanaa...!!!???

BACK TANGANYIKA
CHADEMA kwa sasa Ina Katibu Goigoi sijapata kuona, ni bora hicho cheo wangempa Msigwa, John Heche au Msigwa. Wakishindwa kabisa wampe Japo Halima Mdee. The Iron Lady .Sisi Tusiokuwa na vyama pia tunataka haki itendeke ktk Nchi hii, Kwa sababu tunajua bila haki kuna hatari ya kuitumbukiza Nchi ktk Machafuko na Wataathika wenye vyama na Wasio na vyama.
 
Na mashtaka mengine yanakuja ajiandae kuyajibu. Mnapokuwa na madaraka mjue kuyatumia vizuri tu lasivyo yatawageuka! Nyalandu anajua kilichoko mbele yake ajiandae kwani ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom