Lazaro Nyalandu lazima wakutende hivi, umewaumiza!

Mjema Vushanje

Senior Member
Sep 24, 2017
159
353
Lazaro Nyalandu inawezekana hujui Tu, Ila tambua kuwa kuondoka kwako kumekuwa mwiba kwenye roho zao... Umewatesa Sana na hawajategemea, lazima wakutende hvi.

Kumbuka hata barua yako ya kuhama chama walidai haijawafikia. Kaza hatua Baba!

Japo Nina uhakika ulijua kabisa kuwa haya huenda yakatokea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom