Lazaro Nyalandu: Kwa sasa, mipango ya kumsafirisha Lissu kwenda nje itasimama kutokana na ushauri wa Madaktari

Wew

Wewe wakupelekwa mirembe kuna kitu kinakusumbua hujui nani anatakiwa atoe taarifa ya lissu.
Kiherehere cha nini kwani wewe ndiye msemaji wa familia hiyo??????Kujifanya msemaji wa familia wakati siyo ni Ujinga na Upumbavu!!!!!
 
Pongezi sana Mh. Nyalandu.. I feel proud kwa kweli, UTU, UNDUGU, UBINADAMU kwanza siasa baadae, nikiwa mwana CCM umeonyesha ubinadamu mkubwa sana kwa ndugu yako wa home Mh. Lissu, Mungu akubariki sana
 
Nimeshangaa kwa kweli.Chadema mnataka Lissu Afe ?Hainiingii akilini kuwa maDr wa Nairobi wakatae kuandika ruhusa ya kupelekwa Marekani.Kuna kitu hapa tunafichwa.Halafu bado Chadema mnaendelea kuomba michango.Hivi ruzuku zinafanya kazi gani?Jamani eeeeh Africa ni Africa tu tena East Africa Nairobi bora hata ingekuwa South.Lissu anahitaji matibabu nje ya Africa please.
Ukweli ni Kwamba Mh Lissu hali yake haijatengemaa kabisa kiasi cha kuweza kusafirishwa ni wazi ana.hali mbaya lakini chadema wamekuwa wakisema uongo mchana kweupe na Ukweli ulisemwa na Dr Mashiji siku ile......!
Ina maana Ma Dr wetu wa dodoma walifanya kazi kubwa ndio maana aliweza kusafirishwa kwenda Nairobi...!
 
Nimeshangaa kwa kweli.Chadema mnataka Lissu Afe ?Hainiingii akilini kuwa maDr wa Nairobi wakatae kuandika ruhusa ya kupelekwa Marekani.Kuna kitu hapa tunafichwa.Halafu bado Chadema mnaendelea kuomba michango.Hivi ruzuku zinafanya kazi gani?Jamani eeeeh Africa ni Africa tu tena East Africa Nairobi bora hata ingekuwa South.Lissu anahitaji matibabu nje ya Africa please.
Waliotaka Lissu afe ni wale waliopanga shambulio .......................!!?
 
Nairobi imebaki jina tu siku hizi,hapo kuna namna hao madokta wamekataa ili wale pesa tu,kwa hatua iliofikiwa Lissu anatakiwa apelekwe mbele ili kumuwezesha kupona haraka.
Kenyatta mwenyewe anatabiwa china,kama hao madaktari ni mahiri kwa nini wasingetibia viongozi wao hapo.
Kosa lingine hili linafanywa tena na chadema
 
Kibaya zaidi salio limekata!ile jero jero haiwezi kusaidia matibabu ukijumlisha na gharama za kumtunza Mbowe aliegeuka baunsa wodini,wanataka sana kurudi serikalini lakini wanaanzaje?
 
Soon Polepole atatoa Press Release kuonyesha jinsi CCM inavyoshiriki kwa kiasi kikubwa kufuatilia na kumsaidia Lissu. Mwisho atamalizia kwamba CCM ni chama bora na cha kuigwa barani Africa. Akili za Polepole anazijua mwenyewe..
Kwani Nyarandu ni mjumbe wa kamati kuu wa chama gan?
 
Nimeshangaa kwa kweli.Chadema mnataka Lissu Afe ?Hainiingii akilini kuwa maDr wa Nairobi wakatae kuandika ruhusa ya kupelekwa Marekani.Kuna kitu hapa tunafichwa.Halafu bado Chadema mnaendelea kuomba michango.Hivi ruzuku zinafanya kazi gani?Jamani eeeeh Africa ni Africa tu tena East Africa Nairobi bora hata ingekuwa South.Lissu anahitaji matibabu nje ya Africa please.
Wangekuwa wamekubali ushauri wa kumpeleka Muhimbili National Hospital, angalikuwa yuko South Africa au India long time ago. Madaktari wa Nairobi Hospital huwezi kuwapelekesha kutoa rufaa ya kutibiwa sehemu nyingine kama tulivyozoea kuwapelekesha madaktari wetu wa Muhimbili hata kwa magonjwa ya mafua. Kuwaomba madaktari kutoa rufaa ya kutibiwa sehemu nyingine, ni dharau kubwa kwa madaktari hao wanaokutibu. Ni kuonyesha kuwa hauna imani nao sana ukilinganisha na wa kule unakotaka mgonjwa wampeleke. Na mara nyingi huwa huwajui kwa kina uwezo wa hao madaktari unaotaka uwapelekee mgonjwa wako. Wakati mwingine hao madaktari unaotaka uwapelekee mgonjwa wako ni wanafunzi wa hawa madaktari unaotaka kuwaacha.

Tatizo kubwa la wanasiasa wetu ni kuingilia maamuzi hata ya professions. Wanajiona kuwa wao ndiyo wajuaji wa mambo yote na kuongea maneno kama ' Critical but stable' maneno ambayo professionally they don't make any sense.
 
Nyarandu ameshaijua future yake kisiasa ndio maana anajiandalia pa kukimbilia 2020.
 
Back
Top Bottom