Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Niache kumsikiliza Mama akihutubia Bunge la Kenya nimsikilize huyu mtafuta fursa 😎
 
Umasahau kuwa kilichomuoandoa CCM ni wale Twiga, na sasa anaona anaweza kupata pumzi tena? Huyu jamaa alikimbia Iowa bila hata kumaliza shule kwa vile alikuwa na kesi ya FBI lakini akapata connection ya kuwa karibu na mama Anna Mkapa ambaye alimhifadhi kufuta kesi ile. Jamaa anajua sana kutumia opportunities!

Mjanja mjanja sana.Akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alitumia nafasi yake kujineemesha kweli kweli sasa akibaki CHADEMA atapata nini zaidi kuishi kama Digi digi.
 
Lowassa na Sumaye waliondoka kwa staha na hawakufanya drama. Walitumia busara kukisitiri chama baada ya chama kuwasitiri wao

Lazaro anapaswa kujitafakari upya.
 
Amedai Chadema ni dhaifu sana!
Amedai cdm ni dhaifu sana, ila Magufuli akaagiza Tiss wachapishe karatasi za kura na yeye jina lake likae mwanzo, kisha la Tundu Lisu likae mwisho! Je cdm isingekuwa dhaifu ccm wangekuwa na hali gani, iwapo waliamua kufanya uhayawani wa wazi vile dhidi ya chama dhaifu?
 
Akipelekwa kuwa balozi kama tetesi zinavyodai, CCM mtakuwa mnatudharau sana Wananchi wa Tanzania.
 
Amedai Chadema ni dhaifu sana!
Duh....!
Sasa mbona CCM huwa inatumia nguvu nyingi sana za dola kukabiliana na Chama dhaifu. Kwani akikaa kimya kama mzee Lowassa alivyofanya atapyngukiwa nini? Lowassa alisema anarudi nyumbani basi habari ikaishia hapo, Na yeyye Nyalandu aliporudi nyumbani alisema wimbo wa bwana(CCM) hauimbiki ukiwa ugenini. Mbona wenye akili zao timamu wameshamwelewa?
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!

Alitegemewa na nani ?
Hivi kuzunguka kote majuu juzi juzi kabla ya msiba ilikuwa kuongea nn na mabeberu ?
Twiga atarudisha au ?
Malayamalaya.... JK voice
 
Imeshajulikana anataka kuimba nyimbo hapo nyumbani 2025 Nyarandu for president. Nyimbo ambayo haikuimbika ugenini.
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Hivi mtu kwenye kutafuta mpaka udhalilike namna hii kwa kulamba miguu ya watawala kwa kukandia wengine. Hizi siasa za Africa ni shida sana
 
Back
Top Bottom