Bila shaka tunaofuatilia siasa tunamjua vizuri Nyalandu. Nyalandu alipoamua kuachana na CCM, wengi waliona CCM imepoteza bonge la mwanasiasa. Hivyo hivyo, CHADEMA walimpokea kwa bashasha sana wakijua wamelamba dume.
Sijajua nini ulikuwa msukumo wa Nyalandu kuachana na CCM. Ukimwangalia Nyalandu kwa ndani si mwanasiasa kabisa na hawezi fanya siasa za jukwani.
Pamoja na kuamua kuachana na CCM, Nyalandu alikuwa na tumaini kubwa sana la kurudi Bungeni kwa njia nyingine, yaani kupitia Upinzani.
Baada ya CHADEMA kuanza kususia chaguzi zinazoendelea kwa sasa bila sahaka amegundua kuwa maamuzi na tumaini kale halitafikiwa na alijidanganya.
Kwan ninavyomjua Nyalandu, siasa zake ndo zimefika kikomo. Hatutamuona tena kwenye jukwa la siasa kwa maana hata akirudi kugombea 2020, hatashinda ubunge.
Wengine walisema amejiandaa kwenda kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA!!! Pengine kitu cha kujua ni kuwa Nyalandu hana ushawishi na hawezi kufanya siasa za ushawishi kama tunavyowajua wanasiasa.
Kwa hapa nasema, KWA KHERI NYALANDU.

Ni Kosa kubwa sana kwa Mwanaume aliye ' rijali ' kabisa kumkabidhi ' akili ' zake zote Mwanamke / Mkewe ili aziongoze na afanye atakavyo. Hata vitabu vya dini vinasema ' ishini nao kwa akili '. Naomba niishie hapa tafadhali.
Kwani kwenye maelezo yake wakati anatoka CCM nakuomba kujiunga na Chadema aliomba awe na mgombea ubunge? Yeye aliomba uanachama hakusema anajiunga na Chadema nafikiri umeona tofauti, kwamaana hiyo Chadema wangeweza kumkataa bado asingekuwa mgombea pia.
Jambo lapili kuwa mwanasiasi mzuri sio lazima kuwa muongeaji sana. Mwanasiasa mzuri nitule mtekelezaji wa yale aliohaidi na kuyasimamia yale aliosema. Kulikuwa kuna mbunge wa Karagwe marehemu Pharesi Kabuye alikuwa mkimya sana na hata akisimama bungeni akiwa anachangia hoja huwezi kumuona anatikisa hata mkono lakini alikuwa mwanasiasa mzuri tu.
Siasa ni mchezo kama ilivyo michezo mingine hivyo kila mwanasiasa anajua achangevipi karata zake, pia kuna kitu kinaitwa dhamira , mtu anaweza kufanya kitu kulingana na dhamira yake.