Lazaro Nyalandu aja na neema kwa wagonjwa, mjulishe mgonjwa mapema

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
6,961
13,566
ZIARA YA MATIBABU;
HABARI NJEMA;
BAADA YA KUPONA KANSA, KISUKARI NA MARADHI YA MOYO MAMA MMAREKANI ALIYEBARIKIWA AMEAMUA KUTOA SADAKA YAKE KWA KUGHARAMIA ZIARA YA MATIBABU KWA WATANZANIA 100 FULL MEDICAL CHECK UP NA MATIBABU MARADHI YOTE KTK HOSPITAL YA ORLANDO MEDICAL CENTER FLORIDA MAREKANI. JIANDIKISHE KWA E-MAIL ann@royal.com AU NIANDIKIE INBOX.
GOD IS GREAT!!!
Screenshot_20180504-082247.png
 
Sizonje akisikia hii humanitalian project itakua banned,huenda ikaiondolea reputation serikali tukufu ya JMT lakini pia Mkuu Nyarandu katuacha dilema wananchi wake kasepa bila kusema bye bye,kila raheli mkuu naona tumepata MP mwingine.
 
Bado tunamkumbuka Mbunge wetu
 
hizo fedha za kugharamia watu 100 kwa ziara ya siku Chache;

kwanini asichange zikatimia za kujenga hospital itakayohudumia Maelfu kwa miaka??
 
hizo fedha za kugharamia watu 100 kwa ziara ya siku Chache;

kwanini asichange zikatimia za kujenga hospital itakayohudumia Maelfu kwa miaka??
Tulia.....nyie subirini trillion za trump mzichikichie

Ova
 
Back
Top Bottom