Lawyer Mwale ashikiliwa na polisi Arusha kwa wizi wa mabilioni serikalini

Anashikiliwa na polisi wa interpol, walifanya ukaguzi wa nguvu nyumbani kwake na walikuta shilingi milioni ishirini ndani ya gari lake, alipoulizwa pesa zote hizo anatembea nazo za nini, alisema hizo ni kwa ajili ya matumizi madogo madogo. Awali polisi wa interpol walidai kushangazwa jinsi alivyoweka US $ 30 million kwenye account yake kwa mkupuo mmoja.
Lakin hawa interpol wanaingiaje kwenye hii kesi, ama ana international scandal?
 
Back
Top Bottom