hengo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 402
- 50
Uko sahihi kabisa Boss wangu yaani kila mahala wezi na matapeli wamejaa!Inatupasa tuchukue hatua dhidi ya hali hii
<br />
<br />Du Bongo bana kila mtu mwizi ,lofa mwizi,msomi mwizi,tajiri mwizi,makanisani wizi,misikitini wizi ,mitaani wizi,serikalini wizi ,JESHINI ndio usiseme,polisi vivyo hivyo,mahakamani,balaa na bungeni loo ndio hakukamatiki kwa hao waheshimiwa sana kwa vi EPA ni nambari wani eeh na kule kwenye chama cha wavua magamba ndio loo kunatisha kama tsunami ,sasa nji hii ataiokoa nani ,nani atavaa viatu vya KAMBARAGE jamani ,wanafunzi wake nao ndio wamefungulia gavana,wanasheria ndio kabisaa kwa tamaa za utajiri na mikataba au hoja za hovyo .Ah navunjika moyo kila mtu anaiba kuiba.Nakumbuka school mate waiwili ni wanasheria ni matajiri wa kutisha kwa ajili ya kujihusisha na dili za EPA ,cha ajabu hizo dili zinawaumiza wabongo wenzao wakati wenyewe wako majuu wakijipumzisha wakila bata kiulaini
<br />