Lawrence Masha amiliki asilimia 68 ya hisa Kampuni ya Fastjet Tanzania

Nilimuona pale fasjet vingunguti kasimama nje kumbe ndio alikua katoka kufanya ivo ok
 
Kuna haja ya hii kampuni kurejea sasa ili kuimarisha ushindani katika sekta ya usafiri Wa anga hapa nchini.

Niliwahi kusafiri kwa sh. elfu 90 kutoka Kilimanjaro kwenda Dar.
 
Back
Top Bottom