Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Katika Kipindi cha mahojiano cha clouds fm, nimesikiliza kwa makini jinsi Mr Mafuru akijieleza nimemukubali kama mwanauchumi mzuri na kiongozi asiyekuwa na kinyongo.
Ni wakati wa mwafaka kwa serikali hii ya awamu ya tano kumtumia huyu mwanauchumi mzuri kwenye nafasi ya juu.
Kama Rais Magufuli anavyosema msemakweli ni mpenzi wa Mungu, kweli Mafuru ni msemakweli.