Law society ya Kenya vs ya Tanganyika

pocha2

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
890
396
Naipenda sana law society ya Kenya kuliko ya kwetu, sababu Kuu ni kuwa ya Kenya ipo proactive kuelimisha wananchi na kuinterven ikitakiwa kwa maslahi mapana ya nchi. Hapa kwetu, wapo tuu, maswala ya utata ya kikatiba au kisheria wanakaa kimya. Mfano ni swala la haki ya upigaji kura kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, na hili swala la wapi watu wasubirie matokeo baada ya kupiga kura, je ni distance au ni absolute absence?? Wanasheria wetu tusaidieni (kwa elimu au hata ikibidi kupinga mahakamani), mmesomeshwa kwa kodi zetu.
 
Yaani afadhali hata taasisi Mama Bisimba kuliko TLS, wakiwa kwenye mikutano yao Arusha kazi yao kushindana kufanya anasa badala ya kujadili mambo muhimu kwa ajili ya nchi na chama chao. Kwa mfano hivi karibuni mahakama imepandisha ada ya kufungulia kesi kuwa laki tano haijalishi hata kama madai yako ni kidogo,.lakini Tls kama hawapo vile hawajapinga, wameshidwa hata kutumia ile kesi maarufu ya Ndyanabo kutengua hicho kizuizi cha kupata haki mahakamani. Ipo mifano mingi ila basi kwa vile natumia ki tecno hapa.
 
Mkuu UMEONGELEA JAMBO LA MSINGI SANA,hao ndio wanasheria ambao tungetegemea kwa sehemu kubwa ndio watutetee wapiga kura kisheria (kulingana na kifungu cha sheria kinavyosema) na pia waitetee katiba inayopendekezwa na wananchi, SIJUI NI HAWAJIAMINI AU PIA WAMESHANUNULIWA?
 
Back
Top Bottom