Law separating business and politics coming, says PM Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Law separating business and politics coming, says PM Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MwanaFalsafa1, Jun 19, 2009.

 1. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Bilal Abdul-Aziz
  Prime Minister Mizengo Pinda yesterday informed the National Assembly that new legislation on separating business and politics, as directed by President Jakaya Kikwete will be ready before the next general elections.

  Fielding direct questions from Members of Parliament here, the premier said the process towards drafting the law was in an advanced stage and he was certain
  that a Bill for the same would be tabled in the House and new legislation enacted before going to the polls next year.

  “The process has reached final stages; I cannot tell you that the Bill will be brought to Parliament in the next parliament meeting, but I am certain that it will be ready before general elections,” said Pinda.

  The PM, who was responding to a question from Victor Mwambalaswa (Lupa, CCM), cautioned however, that legislation was not the only effective way to fight dishonesty among leaders.

  “We must fight temptations within ourselves,” insisted the premier. In his question, Mwambalaswa suggested for the immediate adoption of a new law to implement the head of state’s order and thereby curb dishonesty among political leaders.

  Meanwhile, Prime Minister Pinda appealed for patience from lawmakers and the general public as the government finalised preparations for implementation of the National Identity Cards project.

  Responding to Beatrice Shelukindo (Kilindi, CCM) he said: “It’s true that the project has taken long and is yet to be completed, but it has gone very far. It is now at the level of cabinet for final decision.”

  The lawmaker had demanded explanation from the government over failure to complete the project after about 22 years.
  THE GUARDIAN
   
 2. K

  Keil JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ahadi ya mwaka 2006, utekelezaji wake mwaka 2010. Halafu tusije kushangaa sheria hiyo ikawa na mianya kibao. Siku ikishindwa kufanya kazi tutaambiwa sheria iko weak na hivyo inatakiwa kurekebishwa ama kuboreshwa ili iweze kufanya kazi ipasavyo.

  Hivi hao ambao huwa wanaandaa miswada ya sheria kabla ya kwenda Bungeni huwa hawaoni hizo weaknesses za sheria? Maana kule Bungeni huwa ni rubber stamp tu, hata kama sheria ina kasoro nyingi kiasi gani itapita tu na hakuna atakayehoji. After a yr waziri anayehusika anasema sheria ni bomu!
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Jun 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Siasa za Bongo jamani ama kweli taabu kweli kweli. Sasa walipoliua Azimio la Arusha (miiko na maadili ya viongozi) hawakuunda sheria ikapitishwa bungeni. Mwinyi alibadilisha sheria kupitia kikao vya CCM huko Zanzibar (1992) na kuliita Azimio, leo hili Azimio la kurudisha miiko na maadili ya viongozi yanatungiwa sheria upya na hadi yapitishwe na Bunge!..
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Mkandara.

  Wakati ule kuwa kiongozi ni lazima ulikuwa uwe CCM. Hivyo vikao vya CCM pekee yake vilikuwa tosha. Sasa ni vyama vingi basi katiba ya nchi ndio mwongozo.
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Tunatapatapa tu, Kolimba alishajisemea hawana dira wala muelekeo.

  Kwanza ilikuwa tunaweza kuchanganya siasa na biashara, likaja Azimio la Arusha likaharamisha hilo, likaja Azimio la Zanzibar na kuruhusu, sasa tunataka kurudi kuharamisha tena.Kama sio mfamaji asiyesha kutapatapa ni nini hapa?
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Who is quoted to have said:
  I can resist everything except temptation.?
  It must have been ......the Writer of Dorian Grey.....yeah OSCAR WILDE

  PM ana mkakati wowote wa kuwafanya waheshimiwa washindane na vishawishi?
   
 7. c

  cheezyboy New Member

  #7
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Look, my swahili is weak, forgive me for that, I have some idea of what you people are saying. But not a very good idea so i'll just say what i have to say. The government obviously has trouble with corruption, within it's own walls, which is stupid because we trust them to lead our country.
  Since my birth which was 14 years ago i think this is the only law that was attempted to be implemented to reduce corruption rather than to punish the corruptioneers, but i don't understand why does it take 22 years for our leaders who are/should be the most educated of us all to create a law, that seems so simple. Can anyone explain this?
  And Keil you did mention the parliament just being a rubber stamp,and if my translation is correct you also mentioned that whatever law is presented it will be passed, well there is one thing i have to say to this "so long as we are the lambs we have no power over the lions"
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Jun 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Zakumi,
  Mkuu lakini mwaka 1992 si walikuwa tayari wamekwisha kubali nchi kuingia vyama vingi? ilikuwaje waharakishe kupitisha Azimio hilo wakati ni mwaka huo huo vyama vya upinzani vimeruhusiwa kujiandikisha kugombea uongozi...wasisubiri siku, mweii au mwka kupitisha sheria ambayo itatumika kitaifa wajkati wakijua sii maamuzi ya chama kimoja tu..
  Piga mahesabu mkuu wangu CCM hawakufanya mabadiliko hayo bila kufahamu wanafanya nini....Walijua wanakufa maskini, utajiri wameukalia miaka yote sasa kuingia Ubepari ni lazima mtu uwe na kitu kisawasawa!...wakajipanga na mbinu hizo zikatumika kama kiinua mgongo cha uvumilivu wa Ujamaa wa mwalimu...
  Leo hii kwa sababu tumewabana wanaanza sababu nyingi kwani wengi wao bado wanakusanya, hawajashiba na ndio maana wengine wamekataa hoja ya Zitto kuondoka madarakani ktk mashirika ya Umma... Kifupi tusubiri wakishiba ndipo tutaona sherioa nyingi za kuwalinda...Bila shaka utasikia mbiu ya chama ikisema - Mwenye kupata - Kapata, mwenye kukosa Kakosa!...Bongoland Oyeee!
   
Loading...