Hiphop
Member
- Jul 17, 2010
- 51
- 7
Kama ni hivyo CJ atoe msimamo unaoeleweka maana kuna watu wanafanya kazi Serikalini huku ni Mawakili wa Kujitegemea ili waachie ngazi ya Uwakili huo au kazi Serikalini!
Hizi ni lawama zisizo na msingi kwa CJ,hao wafanyakazi wa serikali walipewa circular inayowataka kuresign kazi kama wanataka kuapishwa kuwa advocates lakini wao wakapuuzia na kufanya registration zao high court bila kuresign kazi,logically huwezi kuwa upande wa republic and at the same time represent the client,lazima itokee conflict of interest and automatically utakuwa ume prejudice rights za upande mmoja,ushauri ni kuwa kama wanataka kufanya private practice then waresign post zao na kuapishwa ili wapishe nafasi za state attorney wazi coz kuna wa2 wanatafuta hata kuwa state attorney wanakosa sasa iweje m2 mmoja awe na position mbili,chagueni moja learned brothers and sisters!