Law school of Tanzania among the best institution in Tanzania.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,917
nisiache kuwapa sifa zao zinazostahili ila isiwe chanzo cha kuvuruga utaratibu mzuri unaoendelea na kuanza kufanya madudu kama taasisi nyingine.

Naweza kusema ni mojawapo ya taasisi bora kabisa nchini inayotoa huduma zake bila upendeleo wala kuangalia wajihi, ubini wala uwezo wa mtolewa huduma...kwa kiwango chake inatoa haki kwa wote kwa kuzingatia vigezo.

Ni dhahiri wasimamizi wa hii taasisi wanastahili sifa ya kipekee na kuendelea kuwepo katika eneo lao la kazi kwani wanautendaji bora kabisa.

Nawatakieni sikukuu njema kabisa ya mwisho na mwanzo wa mwaka 2014

R.I.P Madiba.
 
Kuna jamaa toka Cohort ya 3 anashikwa Legal Drafting hadi leo kwingine kote yuko safi. Ni mara zaidi ya 5 sasa anarudia LD. Labda ungefafanua kidogo maneno yako
 
Weka picha

ImageUploadedByJamiiForums1386736673.349371.jpg
 
Back
Top Bottom