Sakata la wanafunzi LST kufeli limeendelea kujipambanua.
Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Inafahamika kuwa walimu LST nao ni products za vyuo hivi hivi hapa nchini. Kama vyuo vinatoa wanafunzi wasioiva hawa walimu wao walijiivisha namna gani?
Kufeli uwakili kilio Afrika Mashariki
Haya ya kuleta takwimu za kwingine kunako zile nchi zetu pendwa za Trump, ambako kutopenda mafanikio ya wengine nayo ni sehemu ya maisha kunatokea wapi?
Mbona takwimu za kuwahusu mabeberu, China, South Africa au India huko haziletwi?
Shule yenye maana ni Ile ambayo stages zake hadi graduation ni wazi na zinaheshimika.
"Shule haiwezi kuhitimishwa kwa kucheza bahati nasibu."
Hongereni majaji kwa kuunda tume yenu kufuatilia kadhia hii. Wadau zaidi na wachukue hatua ya kizalendo kama hii.
Misahafu inasema: "Tawi la mti lisilozaa hulikata na kulitupa."
LST isiyo na tija ni ya nini?