Law:Hasara na faida za Lema kwenda court of appeal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Law:Hasara na faida za Lema kwenda court of appeal

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by The Dude, Apr 6, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimesoma maoni ya wengi humu ni kuwa chadema wasikate rufaa.Premise kubwa wanayorely ni kuwa chadema itashinda Arusha,na pia maamuzi ya rufaa yatacheleweshwa. Naomba kutofautiana.

  1. Credibility-Kutokukata rufaa impliedly kuna maana chadema na lema wote wamekubali kuwa walikiuka taratibu za uchaguzi..kuna maanisha kweli walimdhalilisha Batilda kwa namna tofauti hasa kijinsia na hii inashusha credibility ya chama.

  2. Ukiappeal unaweza omba mahakama kumaintain status quo-yani lema atakuwa mbunge hadi mahakama ya rufaa itakaposema otherwise-so wakichelewesha kesi inakula kwa ccm yenyewe.

  3. Chadema inasema hata wakiweka jiwe watashinda uchaguzi..Imagine uchaguzi umeitishwa,halafu ccm wakamwekea pingamizi lema tume ya uchaguzi halafu likawa upheld hiyo itakuwa ni direct win kwa ccm sababu by then itakuwa too late to meet deadline kwa chadema kuweka mgombea mwingine.

  4.ccm hawako tayari kulipoteza jimbo tena hasa katika wakati huu ambapo wameshashindwa arumeru tayari.It is a do or die thing-by hook or crook..chadema wanajua mbinu ccm walizojiandaa nazo kuwin arusha hata kama ni wizi wa kura na electoral irregularities?

  5. Suppose chadema imeshindwa,unadhan wakati huo wanaweza kisheria kuuchallenge uamuzi wa sasa hivi wa high court?Kwanza watakuwa out of time na hata wakiwa granted leave to appeal out of time grounds zao zitakuwa weak na kutoappeal in time inaweza kutumika as evidence against them kwamba tayari walishaconcede..
  Kuna msemo wa kisheria unasema-If you sleep on your right you should not be heard to claim it later.
  Election shud be last resort

  Grounds of appeal
  1. The judge erred both in law and fact(although court of appeal ni matters of law pekee)
  A. Petitioners failed to meet threshold of evidence even on the balance of probabilities
  B.The judge failed to apprehend that the said irregularities(if any) were curable and did not go to the root as to affect the outcome of the results.
  C. Such insults and hitting below the belt,if anything serves to discredit the person saying
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  acha ukajanja, hatuogopi vita tunaogopa kufa
   
 3. SUCRE MARIACH

  SUCRE MARIACH Senior Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Harakati zinaendelea na zitaendelea mpaka kieleweke...Magamba wanatapatapa yaani hawajielewi na tunao jino kwa jino
   
 4. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hivi umesoma hata nilichoandika au umekimbilia tu kujibu?
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mleta uzi ameleta vitu vya msingi sana si vya kuvipuuzia.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,532
  Trophy Points: 280
  mTundu kISU kusema kweli, mtu unahitaji kiwango fulani cha uelewa ili kuweza kuelewa ulicho andika. Watu humu ni wepesi kutoa majibu ya mkato hata katika issues za professional za watu, hukumu ni suala la kisheria na sio kila kitu siasa!.
   
 7. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Yah naliona hilo..what‘s with bolding some letters kwene jina langu?
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mleta uzi ameleta vitu vya msingi sana si vya kuvipuuzia.
   
 9. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana,

  Waweza kuweka vidokezo vichache alivyotumia jaji katika hukumu?
  Nasikitika wengi wanachangia bila facts! Tunahitaji kuwa na mawazo huru, ya ukweli yasiyo na upendeleo wowote!
   
 10. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kwa point hizo mbili, itakuwa busara kwa CDM kukata rufaa na kama rufaa yao ikikubalika inamaana Lema ataruhusiwa kuendelea kushikilia nafasi yake. Hukumu baada ya rufaa kusikilizwa ikiwa mbaya kwa CDM ndipo wafikilie namna nzuri ya kushiriki uchaguzi na kuangalia mianya yoyote ambayo inaweze ikapelekea mgombea wao kuwekea pingamizi.

  Naunga mkono mawazo yako Mtundu Kisu.
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nafikiri Mtundu Kisu ana hoja nzuri sana labda tusitumie Jazba kujibu hovyo hovyo pasipo kuelewa alichoandika mleta mada,tuwaachie watu wa sheria watujuze zaidi lakn hoja yako ni nzuri naiunga mkono mkuu
   
 12. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukata rufaa ni sumu kwa Lema anayetoa ushauri huo ni either yuko upande ule(the others) or is limited by only what eyes can see nikiwa na maana kusimamia assumption kuwa mahakama ita practice and ruling will be fair with not being external influenced (from Govt) ,that assumption is wrong and zero chance that to happen unless we pretend to be naive.Kuingiliwa kwa mahakama si kwa vitisho tu bali hata kwa ushawishi wa pesa na promotion those guys(the others) ,they can take money from anywhere ...that the reality.Mwogopeni anayesema "kama unaona umeonewa kuna rufani" swali kama ameonewa huku atashindwaje kuonewa kwenye rufani?..

  Ambacho kiko ndani ya uwezo wa Lema ni mahakama ya wananchi..fanya uchaguzipiga kura linda kura.

  Tatu hii kitu bora hata kama ilikuwa haina ushawishi wa CCM...ila inaonyesha hivyo ,inaonekana kwa mwananchi ya kawaida ni hasira za Arumeru .Na na jinsi wananchi wa sasa walivyochoka na ni mbaya sana.

  Swali hivi CDM si wana wafuasi wakianza fungua kesi na kuwa na mashaidi wa tano kusema fulani
   
 13. K-killer

  K-killer Senior Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Mkuu kAtika poiny yako ya 2: huo ni ujanjA,umeongelea anAweza KUOMBA ku maintain status quo wakati kesi inaendelea.Hapo nilipoweka capital letters maanake anaweza akubaliwe au asikubaliwe,hivyo asipokubaliwa then imekula kwetu.Because hapo kuna mkono wA Ikulu na kesi itasogezwa mpaka 2015 huko na watahakikisha asipewe maombi yake ya ku maintain status quo yake.

  Katika point yako ya 3,umeongelea kua Anaweza wekewa pingamizi asigombee ikawa direct win kwa CCM,ila kwa ninavyojua mimi tamko kutoka mahakamani baada ya kuhukumiwa,Mh jaji amemwambia kavuliwa ubunge ila anahaki yakugombea tena na hana pingamizi lolote.

  MY TAKE:
  Lema asikate rufaa kwasababu mchawi wetu tushamjua, na huyu mchawi ananguvu hadi kwenye mahakama zetu anazi control tofauti na taratibu zinAvyotakiwA kua.

  Hivyo basi kutokana na kwamba akikata rufaa wAnaweza mnyim asimaintain status quo yake afu wakairefususha kesi iende kwa mda mrefu sanA.

  Chakufanya kwa sasa ni kukubali matokeo haya na kuingia ulingoni uchaguzi mpya as soon as possible,because uhakika wa jimbo letu kurudi ni 100%
   
 14. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa maoni.
  But ibeg to differ in some aspects..mtazamo wako ni kuwa mahakama iko biased,na haiko huru,which,as much as i would say ni kweli,it is not entirely true-not all the time.

  Jaribu kuwa positive kidogo,give them benefit of doubt.kwa sababu hata kama wakiamua otherwise,bado mtarudi kwene uchaguzi. Na pia ni mara nyingi tuu court of appeal imeamua against ccm na the government so inategemea tu nani na nani wataskiliza hiyo rufaa..lakini trust me,court of appeal si kama high court.Kule kuna watu wanaufahamu wa hali ya juu,utashi,jasiri,na liberal na watu ambao hawana dhiki wala hawanunuliki,japo sio wote.I know what i am saying here,trust me.

  Lakini pia hiyo kauli ya kusema,“kama anaona ameonewa akate rufaa“ nadhani ungekuwa neutral tu..pengine hakukusudia kumwonea,huwa tunasema “the judge has misdirected himself“
   
 15. B

  Bandio Senior Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtundu Kisu umekuja na mada nzuri sana ambayo nadhani itakuwa changamoto kwa viongozi wa CHADEMA katika kufikia maamuzi ya hatua sahihi za kuchukuwa baada ya maamuzi ya mahakama.

  Mawazo yangu ni kwamba CHADEMA wakae pamoja na timu mseto ya wataalamu wa sheria na siasa watafakari hukumu ya mahakama kwa kina. Na katika kufikia maamuzi wasisahau kuwa mahakama yetu kwa ujumla wake bado haijawa huru kiasi cha kutoa maamuzi yanayotarajiwa na walio wengi, msemo wa justice should not only be done but it should be seen to be done kwa hapa bongo hauzingatiwi sana hasa shauri linapogusa maslahi ya CCM.

  Tafadhali pia wakumbuke mlolonge uliotokea baada ya Mtikila kufungua kesi ya Mgombea binafsi na maudhui ya hukumu ya Mahakama Kuu ya Rufaa chini ya uongozi wa Jaji Agustino Ramadhani.


  Naomba wahusika wakipata nakala ya hukumu ya kesi hii
  [FONT=&quot][kesi ya Lema] watusaidie kuiweka hapa JF, nadhani inaweza kutusaidia kujadili mada hii kwa undani zaidi.[/FONT]
   
 16. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Upo sahihi.Uongozi CHADEMA msikurupuke kufanya maamuzi.Fanyeni Cost Benefit analysis ya nguvu na Mungu atawasimamia
   
 17. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,227
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
   
 18. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Halafu nimeona gazeti la mwananchi wameandika lema kazuiwa kugombea mpaka baada ya miaka mitano.. Hii inazidi kuonesha kama ni hivyo kukata rufaa hakuepukiki,ni lazima!
   
 19. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chadema tafakarini na mchukue hatua.
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Name calling!?
   
Loading...