Inawezekana nilikosea kweli; nadhani nilitakiwa kuandia "I don't knew..."Duh!
Sina lingine, ni lilelile 'I didn't knew'. Ndio nini vile?
Inawezekana nilikosea kweli; nadhani nilitakiwa kuandia "I don't knew..."Duh!
Sina lingine, ni lilelile 'I didn't knew'. Ndio nini vile?
Ukiona hivyo kuna mpiga yowe mambo yanamwendea kombo.Waliokuwa wakiandika sana humu ni CHADEMA.Wameshanusa kuwa hali tete kwa mtu wao.Akishindwa hili jukwaa litakuwa kimya sana.Makelele yote uliyokuwa ukiyaona humu ni ya wana CHADEMA ambao wengine wana ID tofauti hadi 50.Wakijitekenya na kujichekesha wenyewe.Kuna mtu hapo tayari keshaumiaNdo kusema hakuna wa kutupatia updates za uchaguzi huko Arusha?
Hapana, kiki ya Magufuri pekee haitoshi kumpa Lissu ushindi, bali ni weledi na utendaji kazi wake uliotukuka ndio vitawashawish lawyers wote wampe kura. Usisahau zile guts zake za kumwambia Mkulu ukwel bila kujali ataupokeaje. Mungu mbariki Lissu, Mungu ibariki TLSNadhani Lissu atashinda kwa zaidi ya asilimia 90 na sababu kubwa ikiwa ni kiki aliyopewa na serikali ya Magufuli.
It's a wrap.
Hapana, kiki ya Magufuri pekee haitoshi kumpa Lissu ushindi, bali ni weledi na utendaji kazi wake uliotukuka ndio vitawashawish lawyers wote wampe kura. Usisahau zile guts zake za kumwambia Mkulu ukwel bila kujali ataupokeaje. Mungu mbariki Lissu, Mungu ibariki TLS
Mfundishe angesemaje ili askosee tenaMasha kasema I HAVE DECIDED TO MAKE A DECISION
Yani hii lugha ya Malkia inatusumbua sana Watanzania. Halafu huyo ndio amesoma mpaka Marekani masters ya sheria. Anachemka chemka namna hiyo.
Ilikuwa lazima kuhutubia Kiingereza?
ndugu kamtafute ras simbaInawezekana nilikosea kweli; nadhani nilitakiwa kuandia "I don't knew..."
Inawezekana nilikosea kweli; nadhani nilitakiwa kuandia "I don't knew..."
ndugu kamtafute ras simba
Nifundisheni basi manake mimi nilivyofundishwa ndo hivyo...."I dont knew" maana yake nini?
Mambo yakudoji vipindi vya walimu wa kiingereza darasa la tatu,yaani jamaa anaonekana TENSE kwake ni shida."I dont knew" maana yake nini?
Nifundisheni basi manake mimi nilivyofundishwa ndo hivyo....
Ulitakiwa kuandika"I don't know" na siyo kuchanganya verb ambayo iko kwenye present form na verb ambayo iko kwenye past form.Nifundisheni basi manake mimi nilivyofundishwa ndo hivyo....
AhahahahahaIli uwe ccm lazma ujitoe akili yani fyuzi moja kichwani ikate mawasiliano
Huna kazi... yaani kabisa unatoa mishipa kuelekeza!!!Ulitakiwa kuandika"I don't know" na siyo kuchanganya verb ambayo iko kwenye present form na verb ambayo iko kwenye past form.
I didn't knowInawezekana nilikosea kweli; nadhani nilitakiwa kuandia "I don't knew..."
Mbon mnaendekeza sana uvyama hata kwa mambo yasiyo ya kichama. Ndo maana hata mtu akighushi vyeti mnajua ameghushi lakini mnasema huyu ni wa chama chetu mumuache, mla rushwa vivyo vivyo. Kweli tutafika hivyo, Hii ndo home of great thinkers? na wakati mnajitoa ufahamu mchana kweupe. Haya mambo tulikuwa tunayasikia Kenya but now Uchama utatutafuna hadi mkulu hataki wabunge wakamsalimie wa chama pinzani. Kazi kweli kweliUkiona hivyo kuna mpiga yowe mambo yanamwendea kombo.Waliokuwa wakiandika sana humu ni CHADEMA.Wameshanusa kuwa hali tete kwa mtu wao.Akishindwa hili jukwaa litakuwa kimya sana.Makelele yote uliyokuwa ukiyaona humu ni ya wana CHADEMA ambao wengine wana ID tofauti hadi 50.Wakijitekenya na kujichekesha wenyewe.Kuna mtu hapo tayari keshaumia