Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

Ndo kusema hakuna wa kutupatia updates za uchaguzi huko Arusha?
Ukiona hivyo kuna mpiga yowe mambo yanamwendea kombo.Waliokuwa wakiandika sana humu ni CHADEMA.Wameshanusa kuwa hali tete kwa mtu wao.Akishindwa hili jukwaa litakuwa kimya sana.Makelele yote uliyokuwa ukiyaona humu ni ya wana CHADEMA ambao wengine wana ID tofauti hadi 50.Wakijitekenya na kujichekesha wenyewe.Kuna mtu hapo tayari keshaumia
 
Nadhani Lissu atashinda kwa zaidi ya asilimia 90 na sababu kubwa ikiwa ni kiki aliyopewa na serikali ya Magufuli.

It's a wrap.
Hapana, kiki ya Magufuri pekee haitoshi kumpa Lissu ushindi, bali ni weledi na utendaji kazi wake uliotukuka ndio vitawashawish lawyers wote wampe kura. Usisahau zile guts zake za kumwambia Mkulu ukwel bila kujali ataupokeaje. Mungu mbariki Lissu, Mungu ibariki TLS
 
Kiki aliyopewa ni kubwa sana.

Magufuli na wenzake wamechemka.

Urais wa TLS sio big deal.

Kichama chenyewe ni kidogo mno.
 
Masha kasema I HAVE DECIDED TO MAKE A DECISION

Yani hii lugha ya Malkia inatusumbua sana Watanzania. Halafu huyo ndio amesoma mpaka Marekani masters ya sheria. Anachemka chemka namna hiyo.

Ilikuwa lazima kuhutubia Kiingereza?
Mfundishe angesemaje ili askosee tena
 
Kwenye uchaguzi huu..Wa TLS either ntaidharau hii displine ama ntaiheshimu...wafanye ujinga wawezavyo...ili niwadharau...Ama niwakubali
 
Nifundisheni basi manake mimi nilivyofundishwa ndo hivyo....
Ulitakiwa kuandika"I don't know" na siyo kuchanganya verb ambayo iko kwenye present form na verb ambayo iko kwenye past form.
 
TLS AU CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA KATIBA NA KANUNI ZAKE TUNAZIJUA?
HIKI CHAMA KIMEUNDWA KWA AJILI YA KUSHUGHULIKIA MASLAHI YA MAWAKILI WALIOSAJILIWA NA AMBAO NI WANACHAMA.
RAIS WA TFF ANA NGUVU KULIKO RAIS WA TLS.
HIKI SI CHAMA CHA SIASA NA KIKIJULIKANA KINAJIHUSISHA NA MAMBO YA SIASA KITAFUTWA.
TUNAMWOMBA TUNDU LISSU AKICHAGULIWA ASITHUBUTU KUINGIZA MAMBO YA SIASA HUMO KWA SABABU CHAMA KITAFUTWA.
 
Ukiona hivyo kuna mpiga yowe mambo yanamwendea kombo.Waliokuwa wakiandika sana humu ni CHADEMA.Wameshanusa kuwa hali tete kwa mtu wao.Akishindwa hili jukwaa litakuwa kimya sana.Makelele yote uliyokuwa ukiyaona humu ni ya wana CHADEMA ambao wengine wana ID tofauti hadi 50.Wakijitekenya na kujichekesha wenyewe.Kuna mtu hapo tayari keshaumia
Mbon mnaendekeza sana uvyama hata kwa mambo yasiyo ya kichama. Ndo maana hata mtu akighushi vyeti mnajua ameghushi lakini mnasema huyu ni wa chama chetu mumuache, mla rushwa vivyo vivyo. Kweli tutafika hivyo, Hii ndo home of great thinkers? na wakati mnajitoa ufahamu mchana kweupe. Haya mambo tulikuwa tunayasikia Kenya but now Uchama utatutafuna hadi mkulu hataki wabunge wakamsalimie wa chama pinzani. Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom