Laughter series: Made in Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laughter series: Made in Kenya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kwetunikwetu, Feb 28, 2009.

 1. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Katika shule moja ya msingi kule kwa Wakikuyu, kuna dogo mmoja kuna siku wakati hakuna Mwalimu darasani alienda ubaoni na kuanza kuandika madudu. Basi, ashantumu kunukuu si matusi, yule mtoto akaandika neno k***, pale ubaoni akalirudia mara mia moja ubao wote ukawa umejaa. Basi wakati wenzake wanaangua kicheko ghafla Mwalimu wa kike mtu mzima akaingia pale darasani na kushuhudia yule dogo akiwa pale ubaoni. Basi Mwalimu akamwambia “we unapenda sana k**** eeeh, sema unapenda sana eeeh, sasa leo utazilamba mpaka uchoke”.

  Basi Mwalimu akasogea ubaoni huku kashika kiboko akamwambia yule mwanafunzi, futa ubao kwa kulamba kwa ulimi kila neno mpaka umalize hayo yote uliyoandika ndio ujue utamu wa k****. Basi dogo akaanza kufuta kwa kulamba kwa ulimi, ilipofika 20 povu likawa limejaa mdomoni wala kuhema hawezi. Dogo alipoona mambo yamekuwa magumu akatimua mbio hadi nyumbani, alipofika tu mamake akamwuliza “mwanangu kuna nini shuleni mbona povu linakutoka hivyo”? Dogo akajibu “mama kuna Mwalimu ameniambia nilambe k*** mia moja, ilipofika ya ishirini ndio nimekimbia”.

  Duh mama kisikia hivyo akasema haiwezekani akamshika dogo mkono mbio mpaka ofisi ya waalimu, ambapo dogo akamwonyesha kwa kidole mamake kwamba Mwalimu mwenyewe ndio huyu. Basi ofisi nzima wakiwa bado hawajakaa sawa mama akaanza kumshambulia yule Mwalimu “wewe yaani unamwambia mwanangu alambe k*** mia moja, una akili kweli”? Basi yule mama akavua nguo akatupa chini akabaki mtupu akapandisha mguu kwenye meza ya Mwalimu huku akisema “Haya embu wewe lamba hii ya kwangu moja tu inakutosha uone”
   
 2. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli!!
   
Loading...